OleSoft
Member
- Jan 21, 2020
- 24
- 19
Ndugu, kesho nitashare na nyinyi live stream kwaajili ya kucheck game ya Aston Villa V Bournemouth : Hii ni kwa wale ambao hawatoenda kibanda umiza, au kivyovyote vile but utahitaji kustream.
Najua kuna wengine wanaweza kustream popote wanapopafahamu lakini hii nayowaletea, itakuondolea kuchukua muda kutafuta live stream au kwa wale ambao hawajui wataipatia wapi.
Kwanza Tujuane mapema, ili niwaletee link kesho. Bundle lako tu la internet na speed yake kwisha.
Sent using Jamii Forums mobile app