Recent content by Olemandalo

  1. O

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wapanua wigo wa vijana kimataifa

    Majina ya kaskazi unayafahamuje? Acha undondocha.
  2. O

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wapanua wigo wa vijana kimataifa

    Mkuu ninaomba nisaidie kuwatambua baadhi ya hayo Majina Hapo wengine mbona hatuwajui? Ninawajua Oleleshwa Olesosopi Tito Hawa wengine siwafahamu naomba msaada wa kuwafahamu viongozi wangu wa Bavicha.
  3. O

    JamiiForums Tanzania James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    mwambieni aanze yeye kwanza kutuhakikishia!
  4. O

    JamiiForums Tanzania James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    haya nenda kakojoe umeandika pumba tupu!
  5. O

    JamiiForums Tanzania James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    embu tupe zile pesa zetu ulizoondoka nazo.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    Mkuu unaonaje naye Millya akijenga hiyo Hospitali kwani Sendeka kafanya mengi yeye hajafanya chochote...
  7. O

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

    acha umbea wewe mnaa mbona hata mimi ni mgombea wa kata ya Sombetini au umetumwa uje umfanyie kampeni huyo Lesikar, alafu unadanganya aliwahi kuwa Cdm akafukuzwa wanachama ili ccm imwamini kwa hili sio? Acha kudanganya watu mwehu wewe!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    Mkuu samahani, unaweza ukatuambia katika ahadi zako za 2010 ni ngapi umeshatekeleza mpaka leo? Kwa sababu ulisemaga hata usipokuwa mbunge Utatekeleza!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    labda mkafungue tawi la Machangudoa
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    wewe utakuwa ulienda Simanjiro ingine Simanjiro yetu hakuna Sehemu wanaita Ndidu, Nairero ama argasape, hiyo itakuwa Simanjiro ya Rwanda na Siyo ya Tanzania ninayo ijua mimi!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    umesahau moja, Kuna vijana wanatukana wazee wao, Millya/Oleleshwa.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    Mkuu najua wewe ndo Oleleshwa Ofisi ya Orkesmet unayosemea ndo ile nyumba ya mama yake Millya? Na nasikia yeye ndo mwenyekiti wa chama Wilaya, alafu wanachama watoto wake, mgombea ubunge first Born!
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    kwa kuwa wanasimanjiro wote ni wanaccm basi jibu ni 'NDIO'
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    hii ni hali halisi ya Simanjiro, na hakuna mtu wa kumkatisha tamaa Millya kasha kata tamaa mwenyewe.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    Mambo yanazidi kupamba moto Wilayani Simanjiro, tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Simanjiro linaonesha kuwa jimbo lenye ushindani mkubwa kushinda Majimbo yote, tayari kuna Majina kadhaa ambayo yanatajwa kuwepo kwenye kunyang'anyiro cha Ubunge Wilayani Simanjiro ni pamoja na Lenganasa...
Back
Top Bottom