Recent content by Ole Shider

  1. O

    Viti Maalum CCM ni Vita........

    Ni takribani siku nane sasa toka Katibu Mkuu wa CCM Ndgu Abdulrahaman Kinana aanze ziara yake Mkoani Arusha.. WanaCCM wote wanatambua na kuthamini jitihada anazofanya Kinana katika kuhakikisha kuwa Chama chao kinarudi katika misingi yake kutokana na ziara zake alizozifanya yapata Nchi nzima...
  2. O

    January Makamba aibuka na Mbinu Mpya ya Rushwa

    Kuelekea miezi ya uchaguzi mengi yameendelea kujitokeza na wenye kutamani kufika pale alipo JK wameendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuweza kushawishi wapiga kula wao. Asubuhi napita kusalimia katika ofisi za Umoja wa Vijana ambako ndiko ninako wajibika ghafla nashangaa kuona Katibu wangu...
  3. O

    Kinana ampiga stop Mwigulu, amtaka asitishe ziara zake zote za Mikoani!

    Barua hii ndiyo inayokatisha kiherehere cha Mwigulu Nchemba eti Sokoine wa Pili. Mwigulu ulishauriwa mapema kwamba jasiri haachi asili Mtela Mwampamba alikuwa mpinzani na upinzani ndiyo asili yake. Wako strategically na Shonza wake. Sasa wewe ukaona ndio wanaokufaa unawatanguliza Mikoani...
  4. O

    Barua ya Wazi Kwa Ndugu Philip Mangula (MCC & MNEC & Rtd. SG CCM)

    Ndugu Mangula Salaam; Haikuwahi kutokea mimi kukuandikia barua ya namna hii hivyo kwa kuanza kwanza nimshukuru Mungu kwa afya na uzima wako mpaka leo. Lakini pili nimshukuru Mhe. Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uungwana, utu wake na mapenzi yake kwa Chama na hata kwako binafsi kiasi cha kuona...
  5. O

    Chuki zenu Dhidi ya Lowassa Msimuhusishe JK; Na Lazma Mjue Haya

    Katika uongozi wa Taifa lolote lile duniani na katika kuhakikisha kuwa mtu analinda utu wake na heshima yake na vile vile analinda watu wake na kuhakikisha wanaishi na kubaki katika amani waliyozoea hakuna kiongkzi yeyote anayefikia hatua ya juu ya mamlaka akakubali kuondoka akaacha gumzo katika...
  6. O

    Bwana Magessa Mulongo Ubunifu wa John Mongela Hutoweza Kuuiga

    Wadau salaam; Hivi majuzini kwenye taarifa ya habari asubuhi nilibahatika kumwona Mkuu wa Mkoa aliyehamishiwa Mwanza akitokea Arusha akitoa maelekezo baada ya kuripoti Mwanza. Kama kawaida yake Mulongo na mbwembwe zake zisizo na tija alionekana akiwaagiza baadhi ya viongozi wa Wilaya ya...
  7. O

    Team Lowassa nawaambia hivi; Rais Kikwete hatabiriki

    Asalaam Alekhum Warakhmatulai Wabarakatum; Katika miezi hii na mwaka tunaoutazamia kumekuwa na maneno mengi, hisia nyingi na matamanio mengi hasa katika kambi mbali mbali za wale wanaojitadi ama kunadiwa kuutaka uongozi. Naandika haya kwa uchungu sana hasa nikizingatia namna ambavyo Vijana...
  8. O

    Katika Hili CCM Mtaanzia Wapi tena Kuinyooshea CHADEMA Vidole?

    Salaam; Katika Siasa zetu hapa Nchi hasa nikivilenga Vyama hasimu vya CCM na CHADEMA kumekuwako na namna tofauti tofauti kati yao katika kufanya siasa zao Nchi na na kufikisha ujumbe wao kwa Wananchi. CHADEMA wamekuwa muda mwingi hasa nyakati za kampeini wakitumia CHOPPER wakiamini ndiyo...
  9. O

    Baraza Kuu la UVCCM lamkataa Mizengo Kayanza Peter Pinda

    Hata ungekaa kimya kungekusaidia vile vile kuliko huu upunguani na ujuha uliokuja nao...... Kama Baraza kuu halijajadili Unaibu tupe majibu Balozi Seif Ally huo Unaibu kautia wapi?? Lakini pili Kingunge huo Ukamanda kahalalishiwa vipi?? Uko nje ya Uwanja wewe si sub waka resev hujui...
  10. O

    Baraza Kuu la UVCCM lamkataa Mizengo Kayanza Peter Pinda

    Kutoka Dodoma; Pamoja na kutumia zaidi ya Milioni 50 Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM linaloendelea Dodoma Limemkaata kwa kauli moja Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Mizengo Pinda. Pinda kakataliwa kuwa Naibu Kamanda wa Vijana Bara huku kwa upande wa Zanzibar Balozi...
  11. O

    Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

    Heading yako na concept ni vitu viwili tofauti...... Sasa hayo ya Hotelini na Kwa baba Askofu kunapeleke aje siye kuamini kuwa kadharau Kamati ya Mangula..... Leo vile vile alikuwa Mahenge andika pia na hilo. Acheni kumfanya Mungu awaze kama ninyi. Na mjaribu kushirikisha akili zetu na yale...
  12. O

    Mkapa: Satta hakuitwa King Cobra kimakosa alistahili kutokana na uwezo wake

    Salaam; Kama kawaida yake Rais Jasiri na asiyemumunya maneno leo kazungumza mengi sana wakati akihojiwa na Runinga ya Citizen kwa njia ya simu. Rais Msataafu Benjamin Mkapa alikuwa akihojiwa juu ya kifo cha Rais wa Zambia Hayati Michael Chilufya Satta aliyefariki leo huko jijini London. Mkapa...
  13. O

    Sofia Simba agawa rushwa waziwazi kununua wafuasi wa Lowassa

    Manyerere; Umesema yote yaani mambo ni yale yale, kwa kambi zile zile kwa mtu yule yule hakuna cha kubalance wala nini....... Ni Majanga
  14. O

    Sofia Simba agawa rushwa waziwazi kununua wafuasi wa Lowassa

    Stori zile zile, watu wale wale, staili ile ile, kwa mtu yule yule........... Ngoyai kwa kweli mpaka huu mwaka uishe utakuwa umeumiza watu vichwa sana na wengine wanaweza wakaparalise kabisa........ Isaya kaandika na tazama kila neno litakalolenenwa juu yako halitafanikiwa na kila silaha...
Back
Top Bottom