Recent content by Ole-Langoi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli hebu tafuta maridhiano ili uliokoe Taifa lisiangamie

    Mmmmm!!! Jamani waliopata matatizo sio kwamba hawakuwa na wafuasi walikuwa nao. Akina Gaddafi na wengine walikuwa na wafuasi lkn sijui sasa wanaishi katika aibu gani. Naamini nanyi wafuasi wa dikteta huyu asiyeambilika iko siku mtaishi kama ndege. Yetu macho. Mioyo ya Watz zinabubujika machozi...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwanafunzi anayedaiwa kupotea, Abdul Nondo akabidhiwa kwa DCI

    Mnafundishwa siasa ya udikteta hamjawahi kuiona.
  3. O

    JamiiForums Tanzania DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Mplekeeni salamu kuwa hiyo nafasi ni ya muda tu. Ufalme wa Bosi wake utaisha 2020 na watafute pa kwenda maana hata balozi wa nyumba kumi hawapati. Hata ya kufagia choo
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kwa haya maneno ya Dr. Kimei, taasisi ya Urais ijitafakari

    Hakupewa kipindi hicho kwa sababu hii hii aliyoiweka Kimei.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Tanzania imeendelea kung'ara, imepanda juu zaidi katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi

    Wakati Bombardier iko mahututi. Imewachelewesha watu kuanzia SAA moja jioni hadi SAA saba usiku.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Diamond Jubilee ya leo imetusaidia kujua kwamba 90% ya Watumishi wa Serikalini goigoi

    Jamani mimi nauliza haki ya mfanyakazi iko wapi? Chama wafanyakazi iko wapi? Wanachama wao wananyanyazwa bila mtetezi, mbona hapo nyuma ilikuwa midomodomoka sasa mmekaa kimya. Au ndiyo kusema mmshalishwa limbwata au mlikuwa mnaongelea vilimbi za mabua.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Hongera Lowassa umeenda Ikulu siasa sasa iko at least adjusted.

    Nimejaribu kuangalia hali ya siasa tangu Lowassa aende ikulu, naona kuna adjument kidogo japo ni kidogo sana. Nawasihi ccm wawe wastaarabu wa kisiasa. Hongera Lowassa.
  8. O

    JamiiForums Tanzania NEC imeridhia kuhamishwa kwa vituo 46 vya kupigia Kura katika kata tatu za jimbo la Kinondoni.

    Asante Lowasa kuona na na Magu naona ustaarabu sasa upo.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya uraia

    Mimi nitupigwa picha yapata mwaka sasa sioni cha kitambulisho wala cha shangazi yake kitambulisho.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

    Haya bana
  11. O

    JamiiForums Tanzania Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

    Hakuna kabila LA waarusha - wote ni maa. Yaani wanazungumza maa! Ni ndiyo wakitwa wamaasai.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara akamtwa Uwanja wa Ndege wa JNIA kwa kutaka kusafirisha fedha kinyemela

    Tena mdebwedo hadi wanakamatwa uwanjani.
  13. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuamua leo juu ya kauli za Edward Lowassa kuhusu Rais Magufuli kutiwa moyo

    Nwashauri Chadema msivurugwe Lowassa ni mwanasiasa. Sio mwanasiasa uchwara.
  14. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuamua leo juu ya kauli za Edward Lowassa kuhusu Rais Magufuli kutiwa moyo

    Nwashauri Chadema msivurugwe Lowassa ni mwanasiasa. Sio mwanasiasa uchwara.
Back
Top Bottom