Vitambulisho vya uraia

Vitambulisho vya uraia

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
705
Reaction score
1,369
Salaam wana jamvi,
Nahitaji kujua kiundani utaratibu wa kupata hivi vitambulisho vya uraia, nasikia tu juu juu na ni jambo la lazima na muhimu.
 
nenda ofisi ya nida iliyokaribu na ww ukachukue fomu
 
Mimi nitupigwa picha yapata mwaka sasa sioni cha kitambulisho wala cha shangazi yake kitambulisho.
 
Back
Top Bottom