Recent content by Ole.info1

  1. O

    Aliekua mpenzi wangu zamani anakaribia kufunga ndoa na kaka yangu. Msaada please.

    Itafute hyo Data kwenye kichwa chako then i delete na make sure hutafuti recovery software.
  2. O

    Sms iliyoniumiza kupita zote

    Shukuru mungu kakwambia so tafuta sehemu nzuri na kumweleza yote hayo na kumweleza umuhimu wa uwazi na faida zake katika mahusiano
  3. O

    Nampenda sana ila nakinai mapema

    hujasema nin kinakupelekea umkinai toa sababu usaidiwe jembe
  4. O

    Kosa langu ni lip? Na ungekuwa wewe ungefanyeje?

    kosa lako umefanya usalit, mwenzio alikuwa anakuweka waz juu yanayotokea ulichotakiwa kufanya kama kwel hyo mwanamke unampenda ungemshaur namna ya kujikinga coz wao ni viumbe dhaif, uvumilvu ni muhmu sana ktka mahusiano
  5. O

    Majibu; je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mkeo akiwa na mimba?

    safi sana dr umetoa majib mazur na yanayotoa iman potof zilizojaa ndan ya vchwa vya watu ktk jamii
Back
Top Bottom