Sisi TZ:shock::shock::shock::shock: wao Kigali:israel::smile-big::israel::smile-big: na itafika muda tutazamia pande zao maana wanaenda kasi kiuchumi kuliko maelezo pia ni wazalendo haswaa
Hapo kwenye hiyo picha huyo kimeo wa kwanza wa kuitwa Mindi Kasiga naye kapata ulaji kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali baada ya kuwa Afisa Habari kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani nafasi ambayo mpaka sasa hakuna aliyekaimu pia hakuna mapungufu ya aina yoyote kwa...
Ukuti ukuti wa nazi wa nazi*2
Ingia upepo wa mtetema,Ingia upepo wa mtetema... MAGAMBA mbona wanajuta kuikanyaga hii miwaya ya huyu dogo huku wananchi wakiwa na hasira mbayaaaa, KALENGA ni ya CHADEMA tena mchana kweupeeeeeeee:israel::israel::israel::israel::israel::israel:
This is NONSENSE 100%... Yaani wewe mtoa mada upo sawa kweli kwenye huo ubongo wako au..!!!? Sioni mantiki yoyote ile kwa kuushabikia huu upuuzi kabisa na bila shaka unahitaji kubadilika japo jua nalo limeshakuchwa loooooohhh..!!!:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
Akili zako zimefikiri sana tu na kuamua kuandika huu UOZO wako hapa jamvini na hii inamaanisha kuwa umeshafikia tamati hivyo basi kwa niaba ya Great Thinker wanaojielewa kama mimi... Nasema hivi ni kuwa tumeshakusamehe kabla hata haujaandika huu upuuzi wako, kaoge ukalale.
Shikamoo mtoa mada Toothpick! Japo mimi ni mkubwa kwako kiumri lakini nimefurahishwa sana sana na bandiko lako pia nimesononeshwa sana kwa kuwa ulichokiandika ni kiswahili fasaha lakini kutokana na uvivu pia kukurupuka kwa wanaojiita wasomi huku wakiwa hawajitambui KUTOKUKUELEWA hata robo ya...
Mnashangaza sana nyie wa**mbe masurufu wa Lumumba kwa kushabikia huu ----- wa Amiri Jeshi mkuu wa nchi wakati kuna vyombo vya dola ambavyo wanalipwa... Tunateswa na kundi dogo mnooo la wakoloni weusi kutokana na ubwege wa kutumiwa kwa baadhi ya vijana wenzetu kama hao wanaotetea uovu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.