Recent content by Okmsusa

  1. O

    JamiiForums Tanzania Changamoto na Ubora wa wanawake wa Rufiji (Wandengereko)

    Kuowa ni kutia mkono kidhani!!!????
  2. O

    JamiiForums Tanzania Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Ukitaka kuowa pendelea kuowa mtu wa kabila lako au yale makabila yanayoenda Kitabia na kabila lako. Mmakonde kwenda kuowa mchaga ni shida au mpemba kwenda kuowa muhaya ni tatizo kubwa Dini ya kiislam imefundisha vizuri hili suala kuowa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

    Give them your sisters!!!!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

    Kama wewe unashangaa wanaume wa Zanzibar kwenda sokoni kukunua chakula cha family yake basi na mimi pia nashangaa kuona wana wake wa bara nakwenda bar kunywa pombe!!!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi aliyevuma sana miaka 90. RIP Mkama Sharp

    Nasikia wengi wa wachezaji hawa wamefariki. Je ni kweli hii!?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi aliyevuma sana miaka 90. RIP Mkama Sharp

    Hebu nitajiye team list wa 1988 ya nyota nyukundu, bia (pilsner)
  7. O

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi aliyevuma sana miaka 90. RIP Mkama Sharp

    Abassi Umenikumbusha mbali sana. Mashaallah
  8. O

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi aliyevuma sana miaka 90. RIP Mkama Sharp

    Maneno yako mazuri. Mashaallah
  9. O

    JamiiForums Tanzania Timu za watoto wa kihuni

    Unasemaje kuhusu Mwakatika
  10. O

    JamiiForums Tanzania Timu za watoto wa kihuni

    Waazilishi wengi wa hizi timu wameshafariki Kutona na mambo ya anasa na ujana kwa mfano pombe, dawa za kulevya, hiv/aids na waliopo wengi wao ni watu wazima age ya 60s plus 70s
  11. O

    JamiiForums Tanzania Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Wapo lkn huwezi kuona sheikh au kiongozi yoyote wa dini kiislamu aki promote ushoga hadharani kama Papa!
  12. O

    JamiiForums Tanzania Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Mashoga wanaongezeka sababu kanisa katoliki mumeamuws ku-promote ushoga mukiacha ushoga utakufa!!!!! Alipangalo mungu hatuwezi kulipangua, mungu kapanga jinsia 2 ya kike na kiume, kuowana na kupata mapenzi na huruma!!!!
  13. O

    JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Nadhani hata wazanzibari wote kwa bara wanaitwa "wapemba" tu wakati wao pia wana makabila yao mfano wamakunduchi, watumbatu, wakojani, washirazi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Mwanamke sio mbuzi na hiyo ndio heshima ya mke
  15. O

    JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Usafiri wa ndege upo
Back
Top Bottom