Pole sana brother
Fanya yote ila asitoe mimba, unaweza kupata consequences kuliko hizo unazozikimbia, assume akableed mpaka akafa, huo msala utauweza..?
mwambie asingizie mtu yeyote wa mkoa wa mbali, maana si lazima aliyempa mimba awe wa maeneo hayo, then wewe chini kwa chini utakua unalea