Recent content by oita

  1. oita

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vya habari vyote Tanzania

    CV ya nappe.......!ni madudu.umewaiona diploma ya mwaka mmoja?
  2. oita

    JamiiForums Tanzania Magic FM: Rais asifikirie Wananchi watafuata sheria wakati yeye mwenyewe anazivunja sheria

    Kwanza angalia tu elimu ya nape shenzi type.
  3. oita

    JamiiForums Tanzania Magic FM: Rais asifikirie Wananchi watafuata sheria wakati yeye mwenyewe anazivunja sheria

    Pumbavu mkubwa na huyo mtakatifu wako.shenzi type nyie.unamuita mwanadamu eti Tukufu?.
  4. oita

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Aliingia na combi garni advance?
  5. oita

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    NAPE NNAUYE DIV IV-29 KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV
  6. oita

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Bro soi hivo yaani ata mimi napinga usomi wake maana kuna watu humu wamesema kuwa nape ana digrii ya habari na sayansi ndio maana nimeonyesha usomi wake hapa wa magugu ili hawa wa uvccm wajue ukweli.
  7. oita

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic FM ya Dar

    Elimu yake ni sawasawa na namna anavyofanya kazi.diploma ya mwaka mmoja. Wuololo yaye........!2001-2002 diploma. 2002-2003 diplomasia.mungu wangu du huyu alisoma kwa raaha sana.
  8. oita

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic FM ya Dar

    Hiyo elimu hiyo daaah.
  9. oita

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic FM ya Dar

    Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo...
  10. oita

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi...
  11. oita

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vya habari vyote Tanzania

    Utawala wa TZ ni ya kuangalia sura kwa baadhi ya viongozi.hivi nape ni waziri wa kitengo hicho je ana hâta certificate ya hicho kitengo?
  12. oita

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wavamia kikao cha ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA, Meza Kuu yaitwa Polisi na kuachiwa

    Tunaomba source ya habari.
  13. oita

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vya habari vyote Tanzania

    Sielewi hii nchi maskini wa mungu.kikwete japokuwa ulitukanwa but ulikuwa na hekima katika uongozi.
  14. oita

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Bi. Regina Chonjo ametangaza hali ya hatari wilayani kwake

    Ufafanuzi wa CHADEMA kuhusu taarifa ya kuahirishwa Operesheni UKUTA. MPEKUZI / 3 hours ago CHADEMA inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu andiko linalosambazwa mitandaoni likimnukuu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe kuwa ameahirisha Operesheni UKUTA na maandalizi ya Septemba 1...
  15. oita

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

Back
Top Bottom