Vyovyote ilivyotendeka, iwe mahakama imetenda haki kwa kuzingatia sheria au iwe imeelekezwa na mamlaka zinazomwelekeza mtungi nini cha kufanya juu ya chama chochote cha siasa lakini madhara ya hukumu hii ni kuaminisha umma kuwa nchi hii vyama vya upinzani havihitajiki na alie kinyume na chama...
Ni dhahili tulipofika sasa maoni ya wananchi ndani ya rasmu ya pili ya katiba yamepuzwa na ccm, wamejaribu kudanganya umma ila uongo wao wote umeshindwa kunyamazisha kilio cha watanzania maskini na wanyonge wa nchi hii, pasipo kujali ccm wamendelea kudhalau maoni ya watanzania ili mradi mradi...
Viongozi wengi wa dini ni wafanya biashara tu kupitia mgongo wa dini,,jukumu kubwa la kiongozi wa dini ni kutokuwa mnafiki, awe ni msema kweli asie mungunya maneno, asiwe wa kufanya mambo ya kujipendekeza kwa watawala ambao wanapuza maoni ya wananchi wao,,nchi hii viongozi wengi wa dini hawana...
Huyu Jaji asipojiepusha na hizi mbinu za kuminya na kuzuia mabadiliko chany yanayoelekea kutokea ndani ya taifa hili lililo ndani ya dimbwi la uongozi mbove basi ajiandae kuingizwa ktk vitabu vya kihistoria kama mtu aliefacilitate kusambaratisha mageuzi chanya kwa vizazi ya Tanzania,,namsihi...
Mzee Waryoba analijali taifa lake,,Lakini kundi la wana CCM wanfikiria ulaji madaraka tu,,katiba haiwezi patikana kwa hali ilivyo sasa na hata ikilazimishwa itakuwa mbovu na kandamizi kuliko katiba zote duniani.
Awali ya yote wanajamvi kwanza niwashukuru kwa michango yenu ya kifikira na ya kusahihisha wanasiasa wetu,,Japo wengi wenu hasa ambao si wenyeji wa jimbo langu inaweza kuwa ngumu kidogo kuelewa mada hii mhimu na inayogusa na iliyoathiri maisha yetu sote katika jimbo hili maskini na lisilokuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.