OK mkuu
Sasa JK kaleta Barabara na Umeme
Na Hutu anunue madawati sio kuwachangisha wananchi
Kwani hela alizookoa kwenye mishahara hewa kwa miezi minne hii kazifanyia nini?
Maisha yatazidi kuwa magumu
Si ametuanzishia kodi ya kichwa kiaina,eti laini ya simu uilipie kodi
Unalipiaje laini ya simu wakati kila nikinunua airtime nalipa 18% ya vat?
Maisha ni magumu
Na wale waliopandishwa madaraja kazini hawaongezewi mishahara.
Watoto wetu hawapewi ajira na wale waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.