achana na betting hizo ni roho za umasikini na ufukara hakuna tajiri au millionea amewahi tajirika kwa kubeti.
Kama Betting imekuwa uraibu wako nguvu ya kuacha kwa akili zako ni ngumu sana unahitaji msaada wa kiroho ili uepukane na hizo roho.
Yesu pekee anaweza kukutoa huko ukimkabithi maisha...
Ndugu simba Mpole maandiko yako yechambuliwa na mtu asiyekuwa na uelewa dhabiti na biblia au neno la Mungu maana
hiyo mistari ulioiquote ni just a tip of iceburg ambapo huwezi ona ukubwa wa iceburg ulioko chini ya kile kinachoonekana. yaani namaanisha kwa ku quote mistar miliwi au mitatu bila...
Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual
sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati
Location: Moshi mjini
mawasiliano 0657662776
serious buyers karibuue e to eeeeweervvv v
nani kwakuambia death is a cut off.
swali tunapoenda kuifadhi mwili tunasema huu ni mwili wa flani flani huyo flani yuko wapi?.
ufike mahali muelewe mwanadamu is more than a body. unasema huu ni mwili wangu wewe uko wapi hapo
sijabisha nimejibu kutokana na maelezo ya aliyetoa hii comment
overal kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?. au umetokea tu yaani kwa Kubeti kwamba kuna mtu amebeti grace atokee mara boom huyu hapa si ndio? out of more than a million sparms?.
mtu abeti chance yakutokea grace ambaye sperm iliyobeba...
kwahio unataka kusema maisha ww umeyapata kibahati tu.
maisha yamekuja tu into existence?. all that misteries jinsi wanyama mimea na wadudu wanavyomanuver life iwe imekuja tu.
take time and study habits mbali mbali za wanyama na wadudu all that genius master piece itokee tu from nowhere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.