Recent content by official scandal

  1. O

    Taratibu wakazi wa Kigamboni tunaanza kuzoeshwa foleni na malori

    Wasalam, Utaratibu mbovu na kukosa utaratibu kwa hizi ICD (Inland Container Depot) waswahili tunaita bandari kavu kunapelekea foleni kwa sisi tunaotoka na kuingia Kigamboni kupitia Daraja la Nyerere. Majira ya asubuhi kwa hii wiki yote, tumeanza kupata changamoto mpya hasa tunaotumia barabara...
  2. O

    China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Wachina wana magari yenye muonekano mzuri sana kwa nje. Ukiwa Beijing ndio unaweza kuchanganyikiwa maana brand na model za magari ni nyingi mno.
  3. O

    Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

    Kuacha njiani mradi wa ujenzi ambao upo zaidi ya asilimia 50 ni hasara mara mbili. Ushauri wangu 1. Mradi umalizwe lakini ufanywe kuwa low cost housing project kutoka kwente ''luxurious residential apartment/houseing scheme''. Wanaweza kufanya hivi kwa kufanya mabadiliko ya kimahitaji hasa...
  4. O

    Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

    Braza wapo watu wema tu wanasaidia bila kuwaza chochote. Piga hiyo Chips Kuku
  5. O

    Hongera RITA kwa mfumo mzuri wa online services

    Kupata cheti kipya cha kuzaliwa cha mtu mzima ni 20k, mtoto mdogo ni 8k, kupata verification ya cheti cha kuzaliwa ni 6k. Unakaa nyumbani unamaliza kila kitu bila mashaka.
  6. O

    Hongera RITA kwa mfumo mzuri wa online services

    Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online. Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF. Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua...
  7. O

    Tayari nishapigwa na kitu kizito sijui nifanyaje

    Unataka ushauri hukununaishi na mke wa watu:p:p Endelea kuishi naye hizo chatting ulizoona fanya kama vile hujaona kitu.
  8. O

    Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Ni kama linapokuja swala la kimataifa, tunakuwa nyuma sana.
  9. O

    Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Kuna mambo umeyaweka hapa nadhani ndipo tatizo lilipo.
  10. O

    Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE. Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika...
  11. O

    Kama Mkurugenzi na dereva wa TANESCO wamekufa, Polisi wamejuaje ajali ilisababishwa na dereva kumkwepa mwendesha baiskeli?

    Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku tarehe 13 April 2025, dereva ana umri wa miaka 61. Nilipata kuwaza kidogo, mtu mwenye umri wa miaka 61 anafanyaje safari za usiku? Binadamu kadiri umri unavyoyoyoma ndio uwezo wetu kwa baadhi ya mambo hupungua ikiwemo nguvu za mwili...
  12. O

    Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Hongera kwa uandishi mzuri umechagua kuwa mfanyabiashara lakini pia ungeweza kuwa mwandishi mzuri wa habari. Nirudi kwenye hoja sasa. Kwa kujibu maswali yako kwenye paragraph ya mwisho. 1. Hakuna tatizo lolote kwa kilichotokea. Huyo mwanamke sio ndugu yenu wa damu. Kwa sasa huyo ni shemeji...
Back
Top Bottom