Recent content by ofero

  1. O

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    Moshi = chiasaka Bukoba = Mnyamahanga. Mbeya = Mjanga ndivyo wanavyoitwa wageni katika maeneo hayo
  2. O

    JamiiForums Tanzania Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Umesema kweli tupu Faiza , Watz lets be serious
  3. O

    JamiiForums Tanzania Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Umesema kweli Faiza ,lets be serious
  4. O

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo amjia juu Zitto Kabwe, ni kuhusu kampuni ya IPTL

    Kwa hili sikubaliani na Muhongo nipo pamoja na mh Zitto bila kumsahau Mh JPM
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wangu kasema Magufuli bure kabisa

    Nimekuelewa Vizuri " Ningekusifia ungevimba kichwa "
  6. O

    JamiiForums Tanzania Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Hivi retirement age ya Polisi ni miaka mingapi ?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya usafi wa tar 9-12-2015 kuna hatari ya Tz nzima kukumbwa na kipindupindu

    Sisi huku Mbande Mbagala kuna marundo ya taka zimerundika eneo la Tinyango haijulikani zitasombwa lini na nani. Pia barabara iendayo zahanati na shule ya Mbande taka taka sasa zimesambaa barabarani na haijulikani hatima yake
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uhamiaji kuchunguza uraia wa Zitto

    Nini Ulimwengu aliyekuwa Dc mbona hata hayati Austin Kapele Shaba ambaye alipata kuwa waziri wa wizara mbali mbali hivyo si ajabu kwa mh Zito bali tuache serikali ifanye kazi yake
  9. O

    JamiiForums Tanzania H. Polepole: Utitiri wa watangaza nia wa CCM ambao sasa ni mawaziri ni dhiaka kwa Rais

    Pengine wamejifunza mengi kutoka kwa Mh bosi wao hivyo wana nia na ari thabiti ya kutaka kuendeleza atakapo ishia bosi
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Mambo matano yanayompa nafasi Makongoro kufaa kupitishwa kama Mgombe Urais tiketi ya CCM

    Sikubaliani na taarifa kuwa Charles Jullius Nyerere " Makongoro " ni mtoto wa tatu kwa kuzaliwa katika familia ya Mwalimu. Nadhani kuna wakubwa zake kama Andrew , Anna , Emil Magige na John . Naomba kusahihishwa
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ludewa, Filikunjombe atishia kumchapa viboko diwani

    Diwani mpinga maendeleo hatufai Ludewa tuitakayo come October. Kila la heri mh Deo tupo pamoja nawe
  12. O

    JamiiForums Tanzania Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

    That was a nice diplomatic speech now people have to wait for actions soonest
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kwa ubunifu huu wa CHADEMA, CCM itasambaratishwa kirahisi sana!

    Wadau tubishane kwa hoja na itikadi lakini tusiingize ukabila na dini OMBI
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete apokea ugeni mzito toka Ludewa wakiongozwa na mbunge wao Filikunjombe

    Bravo Mh Deo na wengine waige toka kwako
  15. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kutuma mamluki kwenye mikutano ya CCM

    Lazima utakuwa ----- kufikiria wanaosikiliza mikutano wote ni lazima wawe wa Chama chako acha hata wengine wasikilize ili wavutiwe na sera zako. Huo ndio ustarabu
Back
Top Bottom