Recent content by odamae

  1. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Ndo mana nikiota ndoto uwa nazifatilia sana kwasababu najijua,najua sio kila ndoto ni ya kweli ila Mimi ndoto zangu mara nyingi ni hali halisi
  2. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Mimi nasoma chuo mar ya pili coz nyingin nishafanya kaz somewhere.nilivyomaliza chuo mara ya kwanza kuna siku niliota nimeajiriwa na kweli zikapita siku chache baada ya kupeleka barua ya maombi ya kazi nikaajiliwa,nimefanya kazi kuna siku nikaota nipo shuleni na wezangu tunasoma, na saizi kama...
  3. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Ila sio huyu wengine tu ambao wananichezea chezea nakuwa kama naoteshwa matukio ndotoni yanayofanyika
  4. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Mimi Nina asili ya kuona ndotoni nishafanyiwa na mengine huko nyuma kwenye ndoto ila ndoto zangu Mara nyingi ni za maono
  5. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Alafu nilianza kumchukia baada ya kuona namuota yeye ananichezea chezea uko nyuma nilikuwanae poa tu
  6. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Next semi nitaama saiz karib tunafanya final
  7. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Kuna reasons zinazofanya tusipatane kuna kitu kilitokea before
  8. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Halafu simuoti kwa mema ni kama ananichezea
  9. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Swali ninalojiuliza kwanini nimwote yeye kila siku
  10. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Nilishamwambia ivi kwanini nakuota wewe kila siku kuna siku alinipulizia upepo mkali ili nisisome nilale,ilikuwa ivi nililala badae nikaamka lakini haikuchukua sekunde nikalala tena nikaona amechukua shuka kanikung utia uson mara moja ile kama ya kukupepea iyo ilikuwa ya pili naix hii ya nne sio...
  11. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Alafu humu ndani analala siku moja moja tu....wiki ili kidog amejitahid kulala hum ndani
  12. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Tukisalimiana tu basi chanzo cha kuwa ivyo hakieleweki ni kama vile hatumatch tabia kwaiyo kila mtu na time yake.
  13. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Ata simuwaz coz mi na yeye ni vitu viwili tofauti tunakizana most of the time hatupatani so sinaga uo muda wa kumfikilia fikilia .
  14. O

    Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

    Nipo shule naishi mazingira ya hosteli chumba chetu tupo watatu,lakini kwanini kila nikilala naota huyu mmoja ananichezea? Nakuwa namwona kwa macho nikiwa kwenye njozi. Jana nikaota kuna kitu ananidondoshea kama chenye maji upande wa bega huku nikiwa nimelala yeye analala kitanda cha juu Mimi...
  15. O

    Kwa wale walosoma management account

    Kuna topic moja ya evolution of theory.kuna theory 3 classical approach,behaviour theory,contingence and scientific system ivi kati ya izi which is suitable to apply in the organization for nowadays?
Back
Top Bottom