Recent content by October

 1. October

  Wizi mpya Bandarini: Makontena 11,884 na Magari 2,019 yapita bila kulipa Ushuru, Polisi waanza Msako

  .......AZAM bado ana majipu mengi. Vuteni subira mtayasikia...
 2. October

  Prof. Lipumba asamehewe na apewe nafasi katika serikali ijayo ya UKAWA?

  asamehewe lakini baada ya kuwaomba watanzania msamaha.
 3. October

  Kiongozi wa Hamas akamatwa na Jeshi la Israel

  Nadhani wewe unaweza bishana hata na BBC. Read here and here
 4. October

  Kiongozi wa Hamas akamatwa na Jeshi la Israel

  Si mbaya wakipelekwa kupambania Ahera madukani.
 5. October

  Kiongozi wa Hamas akamatwa na Jeshi la Israel

  Mi nakumbuka kabisa hili tukio la kile kibabu kikiwa kwenye wheel chair kikitoka kuswali, kililipuliwa kwa kutumia Apache Helicopter equipped with Hell-fire missiles. Read read the link above.
 6. October

  Kiongozi wa Hamas akamatwa na Jeshi la Israel

  Huyu Ahmed Yasin aliuawa 22 March 2004. read here. Mleta habari inaelekea alikua hana taarifa
 7. October

  Kwa nini tusiwe na utaratibu kuwa na marais wa JMT kutoka Zanzibar tu.

  Unaumwa nenda Hospitalini mapema!!!
 8. October

  Humphrey Polepole avamiwa na majambazi

  Porojo tupu hizi
 9. October

  Kanisa lazuia waumini 4,000 kujiandikisha BVR, lasema ni kinyume na imani yao

  Hawa Jehovah Witness hawapigi Kura kote ulimwenguni kwa sababu wanazozijua wenyewe. Hata Vanessa Williams pamoja na kwamba alimpenda sana Obama lakini hakumpigia kura sababu Williams ni muumini wa hii dini ya Jehovah Wittness. source
 10. October

  Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

  Heri niangalie Tom and Jerry kuliko kuangalia anything CCM.
 11. October

  Ghalib Bilal ndio turufu sahihi ya kuing'oa CCM

  Wee ndo unaota Mchana. Bilal hawezi hata shinda kura za maoni ya Ubunge huku bara, sembuse Uraisi!!!
 12. October

  Kubenea kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA

  Mnyika kashatangaza kugombea jimbo la Kibamba. Juzi Team yake ilipita maeneo ya Mbezi kuwatangazia Wananchi hivyo.
 13. October

  ACT Wazalendo ni kama TANU

  Join Date : 18th July 2015 Posts : 4 Rep Power : 0 Likes Received 1 Likes Given 0
 14. October

  Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

  Hawa wanastahili adhabu ya Kifo mara moja, au watuachie Wananchi tuwashughulikie. Tumechoshwa na huu upuuzi. Vilevile Nyumba ya Ibada yoyote itakayokubali kutumiwa kama ghala la Silaha na Kituo Cha mafunzo ya Kigaidi inatakiwa Kubomolewa Mara Moja. Nyumba ya Ibada inatakiwa kuwa mahali...
 15. October

  Hivi Serikali ya Wakoloni ilikuwa na Hospitali zake hapa Nchini?

  Mwanzoni nilidhani kuwa Princess Margareth Hospital au Muhimbili Hospital kama inavyojulikana sasa, Ilijengwa na Waingereza kumbe siyo!!! ....The history of the current MNH located in Dares salaam city, Tanzania, goes way back to 1897 when an Indian businessman established what came to be known...
Top Bottom