Recent content by OCTECH

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Hello! Nawezaje kuunlock modem ya airtel e173u-1 Imei 865633019930389
  2. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu

    Tatizo :Simu ya nokia haisomi laini nilipeleka kwa fundi nikaambiwa tatizo housing na motherbord nikanunua bado ikawa haisomi nikapeleka kwa fundi mwngine akanambia shida ni IC sasa nahitaji ushauri kabla sijanunua hiyo ice coz nimeona mafundi ni wababaishaji sana wanafanya vitu kwa kubabaisha...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ok, thnks
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Msaada jmani hivi Kati ya computer engineering na software engineerng ipi ni nzuri zaidi kuisoma?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga ni dalili za ushindi wa CCM

    Kama simba walikuwa wababe kwa yanga na ubabe umeisha na ccm ubabe wao mwisho octaba 25 kwa ukawa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    kweli watu wamefirisika kifikra watu tinavyo mpenda lowassa nyie hizo ni biti za chura hazi mzuii tembo kunywa maji
  7. O

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Nili kuwepo moro asilimia kubwa y a vijana walienda kuangalia wasanii tu mwaka huu kuna maajabu ya vijana kuweka history ya kufanya mabadliko
  8. O

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu anajua ku-unlock modem ya Zantel?

    Modem ni CDMA
  9. O

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu anajua ku-unlock modem ya Zantel?

    Thnks wadau
  10. O

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu anajua ku-unlock modem ya Zantel?

    Habar wadau wa IT! Hivi unaweza kuchakachua modem ya zantel iwe multipurpose una unatumia software gani?
Back
Top Bottom