yote kwa yote ISRAELI hawana makosa wapalestina ndiyo wenye akili mgando kila wanapo ambiwa waweke silaha chini wao ndiyo kwanza wanaanza kurusha maroketi yao kwa fujo sasa ngoja wapigwe tu na nasema wapigwe tu maana ISRAELI wamechoka sasa :angry:
Ccm imesha poteza mwelekeo na dira,haijui inapo elekea wanaelea katikati ya bahari kuu hawajui pakuelekea wanatangatanga juu ya maji pasipo kujua waende wapi mwisho wa siku wanangamia na kuzama majini kama meli ya taitanic lol
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.