Recent content by Occupy

  1. Occupy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuzingatia ili mpenzi wako aanimi kuwa unampenda kwa Malengo

    11. Kumpa hela, tena hela nyingi.
  2. Occupy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi tabia ya kujibu kwa mkato meseji au unapopigiwa simu inavyoboa

    [emoji23][emoji23]
  3. Occupy

    JamiiForums Tanzania Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Hebu nipe ufafanuzi hapo kwenye mashine ya kukoboa inaaffect vp mota
  4. Occupy

    JamiiForums Tanzania Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Hawa kazi yao kukupa matumaini tu mkuu, lakn msoto upo palepale
  5. Occupy

    JamiiForums Tanzania Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Habari wakuu, Watu hatuna STATUS sawa kwenye jamii ndio maana nimekuja kuomba msaada. Mimi ni mjasiriamali baada ya kuhitimu chuo mwaka jana nilikuwa nimejibana nikasevu pesa kidogo nikanunua Mashine za kukoboa na kusaga Mahindi (Mota na vinu viwili) ni miezi minne sasa tangu ianze kufanya...
  6. Occupy

    JamiiForums Tanzania Maji ya kisima changu yanabadilisha vitu vinakuwa na rangi nyeusi

    Nashangaa kuna watu wanaleta ujuaji
  7. Occupy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Mwezi wa 10 mwishoni anaenda kumpa mbususu jamaa, this time wataboresha njia kuepuka kukamtwa pole Sana mkuu
  8. Occupy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Occupy

    JamiiForums Tanzania Maji ya kisima changu yanabadilisha vitu vinakuwa na rangi nyeusi

    Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita nilikamilisha uchimbaji na ujengeleaji wa KISIMA changu kwa matumizi ya nyumbani na maji yamepatikana kwa wingi japo Yana chumvi kidogo. Sasa shida imeanza, Maji ukiyaangalia meupe na masafi lakini ukipikia vyakula kama ndizi zinaiva hali...
Back
Top Bottom