Recent content by obrien daniels

  1. O

    Nina GPA ya 2.8 undergraduate degree ya uhandisi wa magari,,ninawezaje kuwa Assistant Tutorial? Napataje 3.8 undergraduate tena ili nikidhi vigezo?

    Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka na nina passion ya kuwa Tutorial Assistant wa chuo. Sasa naombeni ushauri,ninawezaje...
  2. O

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Ila hapo juu prediction yako ilisema mimi ni extrovert!
  3. O

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Sijajua sifa za extrovert. Mimi sipendi kuongea na simu, napenda ku chat. Naongea tena kwa kujiamini, nikiamua. Mara nyingi napenda kusikiliza na kukaa kimya. Sipendi mazoea ya hovyo na watu wengi. Sina rafiki ila nipo peace na watu wote.
  4. O

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Cha kushoto kipo juu ya vingine.
  5. O

    Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo

    Bro Mshana, najua huo uganga na vitu vingine yalikuwa ni mapito tu, si nasikia kuna waganga wanaotenda haki? Sasa kwa nini uliacha? Uganga unafanya vipi usiwe mtu wa Mungu? Miti si ililetwa na Mungu au?
Back
Top Bottom