Recent content by ObieTrice

  1. ObieTrice

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MOSES KURIA: RAILA ODINGA akijiapisha kuwa Rais Hukumu ni Kifo

    Moses Kuria huyu ni Gatundu South MP amesema Raila kujiapisha ni uwazimu labda ajiapishe aende kwa bibi yake sio State. Kujiapisha ni kosa kikatiba ya Kenya hukumu ni kifo.
  2. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Amberlulu vs Sanchoka, Basata waanze na nani?

    Ova
  3. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Video: Inasemekana Wimbo wa Rubby uitwao Na Yule ndo umekubalika sana Italy

    hahaahhahaahahahahah
  4. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Video: Inasemekana Wimbo wa Rubby uitwao Na Yule ndo umekubalika sana Italy

    Nandy kaja Juzijuzi kapata tuzo!
  5. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Video: Inasemekana Wimbo wa Rubby uitwao Na Yule ndo umekubalika sana Italy

    Msanii Ruby ameonyesha kufurahi sana baada ya mzungu kutoka italy akiimba wimbo wa ruby akapela uitwao na Yule. Rubby amepost akionyesha kufurahia sana. Wazungu wa Italy waliupokea vizuri sana wimbo huo hata na wengine kuimbaimba na kupost videos kuonyesha upendo kwa msanii huyo. Hii ni moja ya...
  6. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Amberlulu vs Sanchoka, Basata waanze na nani?

    mie nauelewa kinoumaaaaa
  7. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba; Siwezi kumchukia Wema kwa kwenda kumuangalia Lulu gerezani

    swali zuriiiii
  8. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Amberlulu vs Sanchoka, Basata waanze na nani?

    million 10:(
  9. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Amberlulu vs Sanchoka, Basata waanze na nani?

    hata mie nakubaliiiii
  10. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba; Siwezi kumchukia Wema kwa kwenda kumuangalia Lulu gerezani

    Mama kanumba afunguka Jinsi Wema Sepetu alivyofaa kuolewa na kanumba kwa kuwa alikuwa mstaarabu na alikuwa akivaa kiheshima sana alipokuwa akimtembelea. shilawadu walimuuliza atajisikiaje wema sepetu akimtembelea Lulu gerezani?.
  11. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Amberlulu vs Sanchoka, Basata waanze na nani?

    Warembo wanaosumbua Tanzania ni Sanchoka, amberlulu bila kumsahau gigy money. kwa kuwashauri BASATA waanze na nani Amberlulu, gigy money au Sanchoka?
  12. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Pacho Mwamba asema Kanumba hakuwa na mpango wa kuoa Lulu, Kuwa Mtoto ni Heshima

    Asema inakuwa vigumu kwa watu maarufu kama wasanii kushindwa kuoa kwasababu wanazungukwa na Wasichana warembo kila mara na kutaka kupakua kila amuonaye. kwa mfano kanumba hakupanga kuoa. Pia amesisitiza mwanaume kuwa na mtoto ni Heshima kwa mfano ray anamtoto anaitwa baba fulani sasa hivi japo...
  13. ObieTrice

    JamiiForums Tanzania Viboko 12 vyamsubiri Dk. Loius Shika, 'bilionea' nyumba za Said Lugumi

    MAULID WA KITENGE kanichekesha sana..Anasema familia wameamua
Back
Top Bottom