Recent content by ObiElinami

  1. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    #FreeMaxenceJF
  2. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Weka hizo original basi ili utushawishi siyo unaongea tu bila kuwa na evidence.
  3. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Lowassa baby
  4. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Hivi misaada inayoletwa na ccm inatoka wapi? Je ccm wakileta misaada kutoka nje huwa si ya wafadhili?
  5. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Yaani huyu mtangazaji wa star tv ni wa ajabu sana sasa haya ni mahojiano au ni Slaa amekuja kujibu tuhuma anazokabiliwa nazo
  6. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Mmeambiwa CCM wamedumaza uchumi lakini bado mnaiamini
  7. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari baada ya Matokeo Oktoba

    CCM yawa chama pinzani
  8. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Wewe uliona wapi Kofi Olomide akavaa sare moja na wanenguaji wake?
  9. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Kumkaribisha Lowassa

    Kwakweli nimemsikiliza Mh. Aikaeli Mbowe wakati wa tukio la kumkaribisha Mhe. Lowassa kiuhakika hotuba yake inaonesha ukomavu wake kisiasa hasa jinsi ya kutoa hoja zenye mashiko na zenye kujibu maswali yaliyomo vichwani mwa Wabongo wengi. Mbowe alijiandaa alijua wananchi wanamaswali gani na...
  10. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

    Siyo kweli art watu wametengeneza. Bofya hapa usome zaidi http://www.bostonnewstime.com/regional/113096-arists-sun-yuan-and-peng-yu-unveil-shockingly-realistic-fallen-angel-installation.html
  11. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Ukitaka kuona 'nyeti' za kuku subiri apulizwe na Upepo

    Kwani weusi wa nywele ndiyo akili?
  12. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Utupu wa kuku

    Ha haha umetisha
  13. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Utupu wa kuku

    Ukitaka kujua utupu wa kuku Subiria upepo ukipita #siasazetu
  14. ObiElinami

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Magoma moto, Alwatan, Babynash, Budget
Back
Top Bottom