mkuu iko hivi, unaandika barua kwenda kwa meneja wa TANESCO ukiambatanisha na hati ya manunuzi na barua toka kwenye serikali za mitaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua sheria hivyo kwa kila afanyalo huwa anajua halipo kinyume na sheria ya Tanzania ndio maana anashinda maana mahakama hutumia sheria na sio vinginevyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.