Nadhani kitu cha muhimu tembelea ofisi ya tanesco iliyokaribu yako, watakupa utaratibu wote.Naomba anayejua anisaidie ikiwa mtu amenunua nyumba yenye umeme wa mita ya Luku au hata ya zamani, atafanyaje kubadilisha taarifa za Luku/mita ya zamani yaani jina na anwani ili zisomeke kwa jina lake badala ya mmiliki wa awali?
mkuu iko hivi, unaandika barua kwenda kwa meneja wa TANESCO ukiambatanisha na hati ya manunuzi na barua toka kwenye serikali za mitaa.Naomba anayejua anisaidie ikiwa mtu amenunua nyumba yenye umeme wa mita ya Luku au hata ya zamani, atafanyaje kubadilisha taarifa za Luku/mita ya zamani yaani jina na anwani ili zisomeke kwa jina lake badala ya mmiliki wa awali?