Recent content by OBD Mwenyewe

  1. OBD Mwenyewe

    Jinsi ya kufungua bot ya kusajili members kwenye app ya telegram

    Habari zenu ndugu wa jf, naombeni msaada kwa mtu ambaye anajua jinsi ya kufungua bot ya kutumia kuwasajili member kwenye app ya telegram. Asante kwa msaada wako
  2. OBD Mwenyewe

    Aliyesoma masomo ya sanaa, anaruhusiwa kusoma uhasibu?

    Wadau wangu habari zenu? Naomba msaada je mtu akitaka kwenda kusomea uhasibu lazima awe amesoma masomo ya sayansi au hata ya sanaa anaruhusiwa?
  3. OBD Mwenyewe

    Ushauri wa kuanzisha program ya mikopo(ya kukopesha wajasiriamali)

    Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba unisaidie. Pia kwa mtu ambaye anayo hilo wazo naomba anitafute kwa no 0620463178
  4. OBD Mwenyewe

    Ushauri wa kufungua account

    Wana JF naombeni ushauri, Nataka kufungua account ya kuweka hela benki. Je ni account na benki gani iko vizuri? Ahsante
Back
Top Bottom