Ni baada ya ma nyinyiem kukubali kuditisha mchakato wa katiba kutokana na kukosa akidi na uharali kwa kutokuwepo UKAWA.. Leo ndio wamejua kuwa bila UKAWA hakuna katiba ya wananchi
Sasa wote wamekubali kuitikia kiitikio cha ukawa.... Hapo mwanzo walisema ukawa ni kundi la wahuni, wazandiki, wasio na kazi na kwamba katiba ni lazima itapatikana hata bila ukawa... Leo nimeamini kuwa chadema inaongoza na ccm inatawala....akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo.
.
huyo ntinonu, neema mafuma na elikana walienda geita kwenye uchaguzi kama wakina nani?? Mbona uongozi wa kanda unajulikana? Nadhani inabidi tuwe na subra wakati chama chetu kinalifanyia kazi...
Watanzania bado tuna safari ndefu sana kufika tunakokwenda,,,,tujipange kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi 2015....Tuwaelimishe wapiga kura mpaka vijijini na tusije kuwa na wanasiasa wanaopenda kuchochea vurugu bali tupate viongozi wanaohubiri amani, democrasia na maendeleo
Mambo yamebadilika sana, sasa tumeona umuhimu wa kuwa na wabunge vijana wenye uchungu na nchi hii,,, Tunaimani kura zitafika mia na uchache maana kwa kweli waziri mkuu wetu ni bomu
Alichosema mbowe ni cha kweli, na sasa ninawasiwasi kuwa hata Chenge tunaweza kumpoteza muda wowote maana pia anamengi ya kutueleza.
Ikumbukwe kuwa, chenge alikuwa mwanasheris mkuu, hivyo anamengi sana anayoyafahamu kuhusu mafisadi wenzake, je watamtoa kafara?
Jamani, mimi Liberal naendelea kuumia sana napoona mambo hayaendi kama yanavyotakiwa kwenda.
Kwanza napenda niwatoe matongotongo ndugu zangu kuwa: Upinzani sio ubishi na wala kuwa mpinzani haimaanishi unatakiwa kupinga kila kitu. Mwalimu siku moja aliainisha mambo yasiyotakiwa kupingwa kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.