Mgombea CHADEMA awatolea wenzie bastola

Mgombea CHADEMA awatolea wenzie bastola

Chadema chama cha majanga! Yaani vituko vya ajabu ajabu kila kukicha. Hivi mkipewa dola si itakuwa balaa. Imekuwa vizuri chama kimekufa kabla ya kuchukua dola maana tungejuta
 
tatizo jingine linaloua hiki chama ni kutafuta mchawi wa nje kwa kila mambo yanapoharibika. Utaskia kila uovu hata unaotokana na ujuha wa wana cdm wenyewe wanasema ni njama ya ccm. Jifunze kukili makosa na mjirekebishe vingnevyo li-chadema hilooo kaburini
 
Yaani CDM ukitofautiana tu na hata kiongozi wa ngazi ya msingi, unashushiwa rungu la 'wewe ni kibaraka/mamluki wa ccm' imbombo jilipo!
 
Sishangai kuona watu mna comment ujinga, najua kuna mamluki hapa kuna wasema ukweli kuna wasio jua hata dunia sasa hivi inaelekea wapi wao wakikuta wana andika tu wanavyojua vichwani mwao, kwa ufupi hakuna aliyekamilika na hali ya nchi ipo wazi maisha magumu hali inazidi kuwa mbaya, sasa chaguo lipo mkononi mwako kusuka au kunyoa. Jumapili njema.
 
Kada wa CHADEMA DAUDI NTINONU leo majira ya saa sita mchana nusura ampige risasi Kiongozi wa Vijana wa Mkoa wa Geita aitwaye Neema Chozaile.Ntinonu ambaye alikuwa ameongozana na Diwani viti mahalumu wa Nyamagana Bi Neema Mafuma na Elikana Paschael ambae ni mtumishi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Ziwa Magharibi, mala tu baada ya kushuka katika gari la CHADEMA aina ya Ford ranger lenye no CDA 156 katika ofisi za jimbo la geita waliingia ofisini na kuanza kumtupia maneno makali ya uzalilishaji na kisha Ntinonu akatoa Bastola yake yenye rangi nyeusi na kutaka kumfyatua Neema.
Chanzo cha mzozo huo ni mambo ya kusikitisha kwani imebainika kuwa Ntinonu na Peter Makere[mkt Kanda] wanatumiwa na Kada wa CCM aitwaye Mabina ambaye ni ndugu wa Ntinonu na mtia nia waubunge CCM kutengeneza mtandao Jambo ambalo Kamanda Mawazo[mkt mkoa] na Viongozi wa Jimbo la geita akiwemo Rogers na Neema CHOZAIRE wamekuwa wakilipinga,ukurasa huu umebaini kuwa Diwani Neema Mafuma ni awala wa Peter Makere ambaye amekuwa akimtumia kutengeneza taarifa za uongo na kisha kusema kuwa ni maagizo ya dr. SLAA.
========================================

CHAGADEMA ni chama cha wauwaji, sishangai kutolewa kwa hiyo bastola, ni kawaida yao!
 
Imeshangaza na kuogofya kama siyo kusikitisha dada yetu na mwanasiasa machachari kwa kujenga hoja Chozaile kutaka kuchapwa risasi ya kichwa na Mwanasiasa anayetetea baadhi ya Wahaya (waziba), wasiojitambua.

Mwanasiasa huyo anayejulikana kwa jina la Ntinonu inadaiwa alitaka kufanya kitendo hicho baada ya kufichuliwa ukweli kuwa aliwahi kwenda kufukua mwili wa mtu na kuchukua fuju la kichwa ili ampambanishe mpinzani wake kuwa ni muuaji. Hivi sasa yeye mwenyewe ndiye anataka kuwaua viongozi wanaotofautiana naye kimawazo.

Inadaiwa pia Ntinonu anatumwa na Wahaya wenye mtandao hadi kwa Rwakatare ambaye naye ni muhaya na pia Rwakatare naye anaupeleka mtandao huo kwa Josephina Mshumbusi (Muhaya), naye huoeweka majungu haya kwa Slaa ambaye ni Katibu mkuu Taifa, gaijulikani sbamweleza Slaa wakiwa katika hali gani, kwani ghafla maamzi yanayokuja kutoka juu kuja kwa Uongozi wa Rogers ni ya jaziba na kinyume na utaratibu.

Ntinonu yeye mtandao wake unaishia Kanda ambapo kuna m/kiti kabila msukuma ndiye ghafla aliandika barua ya kumtaka Rogers kukabidhi ofisi kwa madai eti kanda imepata maelekezo toka Taifa.

sasa tunajiuliza kwa nini hakupewa nakala ya maelekezo kutoka Taifani? Pia kwa nini hakupewa barua ili ajieleze? Kwanini Silaha za moto zitumike? Je hii ndiyo kuthibiisha kuwa Mchange yuko sahihi kufuatia tuhuma zake.?
 
Bunduki ipi? unaongelea hii?


images
 
Tatizo umeandika kwa jazba mpk tumeshindwa kukuelewa nini hasa unachotaka kusema
Geita ni mji wa mchanganyiko wa makabila ukiongozwa na wasukuma ambao ndo wengi wahaya wana nguvu gani.
Hebu usituharibie chama kuwa mwanachadema haimuondolei mtu makosa kama Ruhega kakosea acha akumbane na rungu la makao makuu.
 
kada wa chadema daudi ntinonu leo majira ya saa sita mchana nusura ampige risasi kiongozi wa vijana wa mkoa wa geita aitwaye neema chozaile.

Ntinonu ambaye alikuwa ameongozana na diwani viti mahalumu wa nyamagana bi neema mafuma na elikana paschael ambae ni mtumishi wa mwenyekiti wa chadema kanda ya ziwa magharibi, mala tu baada ya kushuka katika gari la chadema aina ya ford ranger lenye no cda 156 katika ofisi za jimbo la geita waliingia ofisini na kuanza kumtupia maneno makali ya uzalilishaji na kisha ntinonu akatoa bastola yake yenye rangi nyeusi na kutaka kumfyatua neema.

Chanzo cha mzozo huo ni mambo ya kusikitisha kwani imebainika kuwa ntinonu na peter makere[mkt kanda] wanatumiwa na kada wa ccm aitwaye mabina ambaye ni ndugu wa ntinonu na mtia nia waubunge ccm kutengeneza mtandao jambo ambalo kamanda mawazo[mkt mkoa] na viongozi wa jimbo la geita akiwemo rogers na neema chozaire wamekuwa wakilipinga

========================================

huyo ntinonu, neema mafuma na elikana walienda geita kwenye uchaguzi kama wakina nani?? Mbona uongozi wa kanda unajulikana? Nadhani inabidi tuwe na subra wakati chama chetu kinalifanyia kazi...
 
Chadema chama cha majanga! Yaani vituko vya ajabu ajabu kila kukicha. Hivi mkipewa dola si itakuwa balaa. Imekuwa vizuri chama kimekufa kabla ya kuchukua dola maana tungejuta
katika ndoa hamukosi kukwaruzana hivyo Basi ni jambo la kibinadamu hilo,watu lazima watofautiane mawazo, lakini cha ajabu hawatumii njia za busara katika kutatua Matatizo ya kichama na utofauti wa mawazo.
 
CHAGADEMA ni chama cha wauwaji, sishangai kutolewa kwa hiyo bastola, ni kawaida yao!
Huyo kada wa zamani wa CCM amezoea kuonga na kutumi vitisho vya CCM. Huku kwingine ni hoja. Hana Hoja analeta vituko vya CCM. Abadilike au arudi kwenye chama chenu cha mauaji.
 
Mhhhhhhhhhhhhh siasa za Waafrika bana ni matatizo tu,siasa kwa Tz ni biashara. mlifikiri ni ccm tu ndio waroho wa madaraka? subirini uchaguzi mkuu muone vioja vya wanasiasa tena wote chama tawala na upinzani:wacko:
 
Kuna watu ni wapuuzi sana ,wangekuwa na ufahamu jinsi chama kilivyojengwa kwa mateso na jasho wasingeendekeza huu upuuzi wao.
 
Jimbo la Geita CDM wamelishambulia non stop toka 2010 na limelainika,so kila aliyeshiriki anataka uongozi.
 
Back
Top Bottom