Recent content by Nzumbi Masanja

  1. Nzumbi Masanja

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Wilaya: Mkoa umetusaliti hatutashinda Sombetini

    CCM ni kama Mlima Sayuni Hakika Haitikiswa na Wapinzani Wenye Njaa Kama CHADEMA Wakipewa Vijisenti Wanasaltiana Na kuanza Kuvuana Vyeo.
  2. Nzumbi Masanja

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yataka moyo wa jiwe kama chuma

    Hapo, unavumilia tu kwani wanaume kama sisi wenye imani za pakstani tunaruhusiwa kuoa wanawake wanne, kwa mkupuo ili mradi tu unauwezo wa kuwahudumia kiukweli,hii ni kutokana wanawake ni wengi kuliko wanaume, kama kaonesha nia basi usipoteze kinafasi.
  3. Nzumbi Masanja

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa wazazi wa badiebey kuhitaji mahari ya ng'ombe 20 kisa binti msukuma mweupe

    Hata Bible inakuagiza utoe mahari kama vipi muone mchungaji wa karibu akupe huo mstari mie siukumbuki,au kama ni ngumu kutoa hio mahari angalia kama kunauwezekano wa kumuoa dada yako.
  4. Nzumbi Masanja

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Umeona mzazi tunatisha,wapinzani wanabahatisha tu.
  5. Nzumbi Masanja

    JamiiForums Tanzania Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

    Hiii ni kali
Back
Top Bottom