Recent content by Nzuki ya Buki

  1. N

    PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Kaka huku Simiyu wanyantuzu tunajuana, ukija generation tofauti tunakubaini faster shida Kama hizi zipo Geita, Kagera na huko kigoma
  2. N

    PreGE2025 Jeshi msipotambua umuhimu wenu, mtatumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wala siyo kwa maslahi ya Taifa

    Ingia you tube angalia order of ranks za majeshi barani Africa uangalie jeshi letu ni la ngapi kwa ubora, ndo utaacha kulinganisha na majeshi Kama ya Kenya, Kongo, Ethiopia na kwingineko
  3. N

    RC Chalamila na mzaha wa kufikirika

    Kwani kufagia Barbara nako ni kulinda aman?
  4. N

    Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Dah, kumbe mwamba kapita shule za ukweli, Sasa utamlinganishaje na mtu aliyefukuzwa seminary kwa utovu wa nidham, ikabidi akajishikize private school, no wonder hakuweza kwenda University direct ikabidi aunge unge na vi diploma vya ualim
  5. N

    Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

    Huyu aliyekuwa anatembea na coverage ya TBC One 24 hours
  6. N

    Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Kinachoongelewa hapa ni huu ujinga na viherehere vyenu vya kujifanya mnampenda rais na kumchangia pesa kutoka kwenye hiyo mishahara yenu kidogo eti akachukue form za uraisi, huu ujinga umeuona wapi kwenye hizo idara zingine ulizozitaja
  7. N

    SI KWELI Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina

    Angekataa kwa kumaanisha lisingewekwa, hivi ni nani mwenye uthubutu wa kufanya Jambo ambalo rais amelikataza, tena rais mwenyewe Magu
  8. N

    Wakili msomi Madeleka: Chato ndio Wilaya pekee nchini Tanzania ambayo ina Taa za Kuongoza Magari barabarani!

    Chato ni Wilaya, Bariadi ni Mkoa, Kahama ni Manispaa huoni tofauti mkuu
  9. N

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Nimesoma tu paragraph 2 nikagundua kosa la umri nkaachana nayo, hivi mtu aliyezaliwa mwaka 1977 Leo hii unaweazake kusema ana umri wa miaka 39, uchawa uliopitiliza
  10. N

    Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Viongozi wote huandaliwa speach hata Nyerere aliandaliwa kikubwa ni wewe unaye present hiyo speach kujua Ina mashiko kwa hadhira inayokusikiliza, kwani yeye ni robot ambaye kazi yake ni kusoma chochote
  11. N

    Wabunge wa CCM na miswada kwa hati ya dharura

    Leo umeoga maji gani kiongozi, naona Kama umejivua gamba, halafu umekuwa na akili Sent from my Infinix X660C using JamiiForums mobile app
  12. N

    Mtoto anayeandaliwa kuwa Rais wa JMT mwaka 2050 na jinsi makisio yanavyopishana: Hata hivyo ya Mungu mengi

    Wa miaka 6 sa hivi atakuwa kafikisha 40 yrs in 2050? Sent from my Infinix X660C using JamiiForums mobile app
  13. N

    DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    Yaani Tanzania tumefika mahali Mwalim wa shule ya msingi ni jasori kuliko askari wa JWTZ Sent from my Infinix X660C using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom