Recent content by Nzugumo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina miaka 25 kila ninalofanya linaishia kufeli

    Nenda kwa Mwamposa ukakanyage mafuta Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Askari watano mbaroni kwa tuhuma za rushwa

    Askari analipwa 400,000 hapo hapo ana mkopo, huku familia inamtegemea na tulisikia siku hizi wameanzishiwa mpk kozi wanazojilipia wenyewe je tutegemee nini hapo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania RPC Mwanza naomba uingilie hili suala ili haki ipatikane

    Mkuu hapa kunamengi yamejificha chini ya kapeti hata mtoa maada hawezi jib ndio maana hata yeye anakomaa kama ni mwizi angelikamatwa na kupelekwa ktk vyombo vya sheria, ila mtoa maada atambue mazingra yanayofaa kumkamata mwiz na kumfikisha mahakamani. Mfano, mwizi kaja nyumbani kwako kwa lengo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania RPC Mwanza naomba uingilie hili suala ili haki ipatikane

    Wewe ndio unatakiwa uchunguzwe kweli kweli pengne alikuwa ni mshirika mwenzio hivyo kikosi kimepungukiwa nguvu kazi baada ya yeye kuondoka. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mnachotufanyia mawakala ni dhambi

    Habari ndugu wana JamiiForums! Kuna tabia imejitokeza baadhi ya mawakala wanaosajili laini za simu kwa alama za vidole kutumia gepu hilo kufyatua laini za ziada kwa kitambulisho cha mtu aliyeenda kusajili laini kwa alama za vidole bila yeye kujua. Mfano, anakuwa ameandaa laini katika simu yake...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Askari kujilipia gharama za mafunzo ni Utaratibu mpya au ulikuwepo awamu zilizopita?

    End ya siku wanakuwa hivi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Mwanza mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Habari zenu wana JF, Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali. Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa akihudhuria kilinic vizuri kabisa. Alitakiwa kujifungua 09.02.2019 kwa mujibu wa maelezo ya kliniki...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli usipobadilisha msimamo wako kuhusu mikopo ya wanafunzi, uchaguzi 2020 hutoboi

    Mpaka ck Tz ikichukua kombe la Dunia kwa mpira wa miguu ndo CCM itakaposhindwa Urais tofauti na hapo labda ijitoe yenyewe ktk chaguzi teh teh teh teh
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza lugha ya kiingereza vizuri niende kwa nani Rasi Simba au?

    Je wadau kwa mwanza huduma hii ya kujifunza lugha ya kingereza inapatikana wapi?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi linaloishi kwenye nyumba mbovu zaidi Tanzania. Wanafuatia Magereza

    Huko mwanza kunasehemu inaitwa kigoto niliwahi pita pale nikakuta majumba yaliyojengwa karne ya 18 eti wanaishi askar polisi yaani majumba yamechoka ile mbaya mvua ikianza kunyesha kila siku unamuona askar anapanda juu kupanga mawe ili bati zisiondolewe na upepo ukiingia ndani utazani mabanda ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Iringa: Jeshi la Polisi lafungua Jalada la uchunguzi kuhusu Mwanafunzi Abdul Nondo

    Ahhhhh Je kwahiyo mtu akitekwa huwa anamaeneo maalum ya kupelekwa na sio Iringa? Au mtu akitekwa lazima awekewe jeraha mm nazani uchunguzi wakina ufanyike na sio kubaki kubashiri tu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani wakimpiga raia

    Mbona hiyo video kwangu inaonyesha huyo mkamatwaji alikuwa tayari kashakubari kukamatwa na ndio maana hata mikono yake kwapamoja alikuwa kaiweka kwenye kibamia chake hapo haikupaswa kabisa traffic kuanza kumrushia makonde mtu ambae tayari ni mateka na inavyoonyesha yote aliyokuwa anayafanya...
Back
Top Bottom