Recent content by nzotangai

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Ndo maana tunasema Sasa basi tumewaelewa. Tunakaa kimya kupokea maendeleo aliyoahidi magufuli kuwa Kama upinzani utaondoka, Tanzania itakuwa Kama ulaya. Tunasubiri hiyo neema. Tumeondoka muwe huru kutekekeza ilani bila kuhojiwa na mtu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Nakuunga mkono. Tuache rusubiri tuyaone. Hata tukioiga kelele sana system yote imeoza, iko under control ya serikali hiyohiyo ya dhuluma. Nothing can change. Tuwape Uhuru kamila na nafasi wafanye walichoahidi nasi tuone tujifunze. Labda tunawachanganya.
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Vimeanguka kwasababu tume ya uchaguzi ya Tanzania si tume huru Bali Ni mawakala wa CCM. Kwahiyo walihakikisha wanaina kura kwa namna yoyote ile. Upinzani ulishanda zaidi ya uchaguzi mwingine wiwote uliowahifanyika nchini tangu vyama vingi vianze. CCM ingekuwa inakubalika kwa jinsi hii...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

    Wewe unaonaje?
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Benson Bagonza: Wote Hawaamini

    Sio Mungu aliyewasaidia, huyo Ni shetani. Kumbuka hata shetani hutenda miujiza.
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Benson Bagonza: Wote Hawaamini

    Kwani Sasa Lissu ameshindwa? Mbona ameshinda Sana. Mlichofanya ni kugeuza matokeo mkatangaza wa kwenu. Hilo tulilijua litafanyika kwa kuwa hamkubaliki na hili mnalijua, Magu anajua kuwa hakubaliki na MUNGU anajua. Kama mlikuwa mnakubalika, visa vyote hivyo vilikuwa vya nini? Hizo kura feki...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Hivi jamani mnaangalia TBC kutafuta Nini? Kama TV yako haina channels nyingine, si uweke movie iangalie? TBC Imeshapoteza credibility ya kuitwa tv ya Taifa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

    Atii Sheria ipi? Sheria ya mwaka gani? Kumzuia kwenda kwenye kampeni zake bila sababu? Kwanini hamtumii akili zenu? Umzuie mtu haki yake, akikuuliza kwanini unadai siyo mtii wa sheria. Mnataka atii sheria ipi? Ya kumkandamiza? Hebu tumieni hekima kidogo, acheni ujinga.
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwenu viongozi wa dini, Uchaguzi unawahusu pia...

    Kwanini unasema ni uzishi wa CHADEMA? Kwani si kweli kuwa watu wameuwawa? Mpaka afe ndugu yako ndo aumini kuwa kuna watu wameuwawa? Kwanini CCM mnajifanya hamnazo kiasi hiki? Hivi mnadhani watu ni wapumbavu wasioelewa hayo? Nawaambia mida unakuja ambapo tutatenganisha maharage na kunde. Wala...
  10. N

    JamiiForums Tanzania JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Aliyetoa mada yeye mwenyewe ni very stupid small thinker, Sasa sijui unamaanishaniini ukisema "small thinkers watampinga"!!!?
  11. N

    JamiiForums Tanzania JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Lissu anashinda uchaguzi huu kwa uhakika. CCM mtakachofanya kama ilivyo kawaida yenu nikutumia mabavu kuiba kura nakujitangaza washindi. Hili halina mjadala kwani wewe Paskal unalijua, magufuli analijua na wote wanaccm mnalijua hata kama mnakata kwa nguvu zote. Hapa hakuna uchaguzi ni maigizo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

    mpaka wakwenu auwawe ndo utaheszbu hayo kuwa ni mauaji, hao wanauwawa ni ngombe? Mwaka huu tutaheshimiana tu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nawaasa wanaotaka kuandamana

    Wewe moumbavu, subiri uone. Ibeni kura muone. Usidhani mwaka juzi nisawa na mwaka huu people grow and Change. Ibeni kura ndo mtajifunza. Si mlizema mumeshaua CHADEMA, mkafanya kampeni wenyewe kwa miaka mitano, hii miezi miwili ya chadema ambaya na ninyi bado mpo mkitumia rasilimali zote za...
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi nzuri sana viongozi wa CHADEMA majimboni, sasa mnashindana kuvunja rekodi na kesho tupo Tarime!

    CCM haijawahi kushinda. Inaiba kura.
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Unajua ndugu Paschal Mayalla, tunajua kwamba CCM itashinda kwakuwa hakuna haki. Hilo liko wazi kwani hata 2015 hawakushinda bali walitumia mtido huo wakujitangaza washindi regardless matokeo halisi. Sio kwenye ballot box. Watajitangaza washindi kwani Referree na Commissar wa match ni hao hao...
Back
Top Bottom