Recent content by nzogolong'iva

  1. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

    Mimi si chilisosi wala tomatososi ila ni NZOGOLONG'IVA usinibatize jina lisilokuwa langu. Unashabikia namba za akina Makinda kuwekwa hadharani vipi tukiweka ya mkeo utaridhika? sema niiweke hadharani wana JF wamjulie hali shemeji yao.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

    Mkuu Mwakidondo hajapinga madai ya CDM wala kwa namna yoyote hajamtetea spika na naibu wake ila kahoji kuwekwa hadharani namba zao kwa lengo la kuhamasisha watu wazitumie. Vee uva wimuhonge wiliga umgosi muyago utije mkimama!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Profesa ama Dokta wa akili maana yake nini?

    ni kwamba hizo titles zao ni za kisomo siyo kama uprofesa wa majimarefu and the like.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Amani na Utulivu

    kafuata nini kwenye mkutano wa watu? watovu wa adabu ni vema wakaadabishwa on the spot.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zitto,hoja yako imeishia wapi?

    Bado anacheza kwanza "leka dutigite"
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa amuumbua John Tendwa

    wangetoa tu maoni yao, yanini malumbano yasiyo na tija?
Back
Top Bottom