Recent content by Nziiriman

  1. N

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Tuonyeshe viwanda vimejengwa wapi? Anza na vile 3000 walivyotangaza tujue viko wapi!
  2. N

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Si vilijengwa viwanda 3000 vya watu wasiojulikana?
  3. N

    Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

    Huyo aliyesema wamasai toka nchi jirani wameingia kuzuia zoezi halafu wakashindwa wakakimbia kurudi kwao ni mjing fulani tu. Sijui aliemtuma hapa atamlipaje. Imagine nchi yenye serikali, wamasai wa Kenya waje hapa wafanye vurugu halafu warudi hata mmoja hajakamatwa tutakuwa na serikali gani...
  4. N

    Olengurumwa: Ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Ardhi ya Loliondo na Ngorongoro

    Asante kwa ufafanuzi. Ingefaa serikali ije na melezo kama haya kuthibitisha kuwa maeneo hayo yenye mgogorosio ardhi ya vijiji bali yametengwa kwaajili ya wanyamapori. Badala yake serikali inatumia nguvu.
  5. N

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Wanyama wanaweza kuishi na Waarabu/matajiri!
  6. N

    Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Ulitaka nifuate yanayosemwa na kima?
  7. N

    Tutafakari Hoja za HAKIELIMU na Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu Kiswahili kama lugha ya kufundishia

    Nimekuelewa vizuri: Ukiitaka kumshinda adui lazima ujue mbinu anazotumia ktk mapambano. Kujua lugha yake ni mwanzo mzuri wa kujua mbinu zake.
  8. N

    Japo Siasa sio uadui, matendo haya yasijirudie tena tuendako

    Kweli hatujui alipita hapo kufanya nini. Lakini hata kama aliwachokoza, na wao wako wengi kiadi hicho kwanini wasimkamate na kumpeleka kunako sheria? Kosa lake linahalalisha unyama anaotendewa? Au mlimuamini shetani kwamba 'wapinzani walituchelewesha sana!
  9. N

    Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    H Huwezi ukamtendea mwenzio ubaya halafu uendekuomba msamaha kwa Mungu. Lazima (yaani ni LAZIMA) Kwanza umuombe msamaha uliyemkosea. Labda kuzini na mke/ mme wa mtu, huwezi kumuombea msamaha uliyemdhulumu maana italeta tafrani zaidi ktk jamii. Hiyo unatubu tu kwa Mungu. Magufuli alifanya maovu...
  10. N

    Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Sidhani uilo jina John lina mkos. Walikuwepo mpaka Sasa tuna John wengi ambao ni watu wema. Labda majina kama pombe, magufuli, jiwe, kichaa, mzilankende etc.
  11. N

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Mbunifu (mchongaji) wa kesi ya ugaidi?
  12. N

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Huyu bado sio jenerali. Labda Sabaya, yeye tayari ni jenerali.
  13. N

    Rais Samia usiishie kufuta kesi za kisiasa za wana-CHADEMA tu

    Amina. Mungu ni mwema 'atamlipa' kila binadamu kwa kadri ya matendo yake.
  14. N

    CCM iwaambie Wananchi ilivipataje viwanja inavyovimiliki wakati haikuvijenga bali wananchi walichangishwa

    Kuna mali nyingi za umma ccm walipora. Majengo mengi ya biashara ktk viwanja vya halmashauri/serikali ccm wanamiliki isivyo halali. Walichukua viwanja wakawaambia wafanya biashara wajenge, wafanyie biashara kipindi fulani halaf baadae waendelee kulipa kodi. Majengo ya ofisi zao ktk mikoa na...
  15. N

    Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    😃😃😃😃😃 Ni Kongwa ingekuwa chattle MPYA!
Back
Top Bottom