Kwa mm nifikiriavyo siyo kweli kuwa walimu hao wamekatwa mishahara yao kwa sababu ya kutokuwa na history sheet na/au vyeti vya kuzaliwa.Lakini huyo aliyetoa taarifa kuwa wamekatwa mishahara hiyo kwa sababu tajwa hapo juu ni nani? Hii inaonekana kulikuwa na taarifa in advance.
In connection hawa...
Sina cha kuongeza hapo naona woote mnamawazo ya namna moja probability Sikh zote huwa ni moja tu ikiwa ccm itashinda basi UKAWA watakuwa wameshindwa na kinyume chake
uchumi tengenezee mwenyewe jamaa ameeleza vzr sana hapo juu kuwa determinant wa dollar ya US dhidi ya Tsh.ni demand and supply so acha kuleta siasa hata kwenye mambo ya kitaalam
Mzee huyu amefunguka kwa evidence na kwa kujiamini sana.Dah! Kazi ipo mwaka huu cc yetu macho na masikio na offcourse yote kwa yote turudi kwenye sifa za mtu kuwa rais wa nchi hii.
Mimi nimekuwa nikifanya applications za ualimu ngazi ya ordinary diploma in primary education malipo tayari nimeshalipa nikafungia email halafu nikaanza kuapply kilichonishangaza hapo ni kwamba kila Niki click continue with applications naambiwa "the email you provided already exist in our...
Kwa mtazamo wangu nadhan kuna haja ya kuwapeleka watu semina.kwa nionavyo mm tujifunze dini zote mbili hlf from utachambua pumba na mchele.nasema hvyo kwa kuwa mleta uzi yawezekana akawa anauelewa wa dn yake na akawa hana kbs uelewa wowote juu ya dn ya upande mwingine ndy maana ahahc kuwa upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.