Habari za jioni Wanajamiiforum? Nimekuwa nikifuatilia session ya jioni ya Bunge,kubwa likiwa ni mjadala wa mabadiliko ya sheria mbalimbali.Mchangiaji wa kwanza, baada ya hotuba ya kambi rasmi ya upinzani,alitoa hoja ya kuahirishwa kwa mjadala,kutokana na mapungufu mengi,lakini kubwa ni pale A.G...