Recent content by nzagala

  1. N

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Huyo aliyekuambia kozi tatu yuko sahihi hasa kama nyumba ni kubwa maana ukishapiga fisherboard zinakua ziko karibu sana na madirisha (kama ni kozi mbili) na hivyo kutokuvutia sana. Bt kama nyumba ndogo na paa haliendi sana juu basi kozi mbili ziko poa.
  2. N

    Kwa wafanyakazi tu, mje tujadiliane hapa

    Huenda wanakatwa vyama viwili kwa wakati mmoja...nenda kwa HR wako anayehusika mwambie arekebishe hiyo ni makosa sio eti coz ni afya..
  3. N

    Kwa wafanyakazi tu, mje tujadiliane hapa

    Sheria ya ajira na mahusiano kazini Na.6/2004 inataka makato yawe si zaidi ya 2% hiyo 4% imetoka wapi? na kumbuka kama ni wa serikali makato hayo yanafanywa na mfumo maalumu wa Lawson
  4. N

    Bush stars na Born Town first eleven.....

    Wale jamaa waliokuwa wanachora zile katuni walikua mahiri sana kwa simulizi kwakweli sasa hivi hata sijui wako wapi...kuna katuni maarufu pia kwnye jarida la Bongo nadhan sijui anaitwa Maprosso alikua na hela nyingi sana. ....hata simulizi ya kifo cha 2Pac Shakur jamaa walielezea kwa michoro as...
  5. N

    Malumbano ya hoja ITV washiriki ni walewale, Why?

    Kuna mwingine kijana hujiita mchambuzi wa mambo ya fedha na uchumi sijui kuongea kwa kujenga hoja hata hawezi japo kila mara yupo
  6. N

    Salim Kikeke

    Nilianza kumsikia radio one 2000s
Back
Top Bottom