Recent content by Nyungu Ya Mawe II

  1. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Nimejiuliza kwanini Banda anaanzia benchi mechi nyingi

    Dogo ni very talented yupo sharp na mwepes sana! Shida PUMZI mkuu
  2. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Bila shaka unatania eeh??? Yaan aoe mchawi? Hao wanabadilikaga hao hata kama mwanzo alikua mwema kwako
  3. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Safi sana! Big up
  4. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Story tamu kwel, ila kama imepungua ujazo yaan imekua fupi
  5. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Tupo pamoja sana
  6. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Huu mkoa kila mwanamke ninaepishana nae ana ndevu

    Umejua kunivunja mbavu we jamaa[emoji1787]
  7. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    T.I.D ft Jay Mo - Zeze Ndg zang waliosemaga Old is Gold hawakukosea kabisa. Watoto wa Jakaya hawawez kuelewa nachosema
  8. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Joke of my day

    Serious bro?! Waigizaj mashuhuri hawa
  9. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    Yote Kheri ila najiuliza tu kwanini report ya B.O.T haitoki? Vipi makinikia ngoja niendelee kutafakari
  10. Nyungu Ya Mawe II

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda: Nimeongea na DC Kasesela alichomaanisha ni kumtaka kijana akae chini hakumtusi, Zanzibar wanasema "kaa kitako"

    Kama hicho ndicho alichomaanisha ile tone yake haikuwa ya kiungwana ilijaa amir komandi na hasira, na alikuwa anamwita aje mbele kufanyaje
Back
Top Bottom