Katika mshikemshike wa kuwatafuta "wapiga dili" ambapo watu walifanyiwa kitu kiitwacho "Taxe examination" TRA imekuwa ikifunga account za wafayabiashara na kuzuia miamala yote Jambo ambalo limepepekea wafanya biasha kutoziamini bank na kuamua kufunga account and kuendesha mialama ya cash, huku...
gharama za kurejesha utalii ulipokuwepo ni mara tano ya faida iliyopatika kutokana na ongezeko la VAT. Kama ilivyo bandarini, gharama ya kuwarudisha wafanya biashara wa congo ni kushusha ada ya kupitisha mizigo chini ya ada ya msumbiji.
Ebu tujiulize swali hili: Ukipewa pakacha la machungwa...
Umefika wakati watanzania tukitaka kuchagua kiongozi lazima awe aliwahi kuwa mfanya biashara na sio mkulima, maana mkulima hafanyi hesabu za hasara wala kuhakiki soko, hulima kisha anatafuta soko baadae mazao yameozea store kabla hajapata soko.
Mawakala wa utalii wanasubiria matokeo ya VAT wala...
Sheria ya mtandao inalenga kuzuia taarifa kufika kwa mtu mmoja hadi mwingine, Ingekuwa kuna uhuru wa kupita mipakani na kuishi upendapo ningehamia Congo.
Nakumbuka mwaka 1979 nikiwa mtoto mama yangu aliniamsha nikapange foleni ya sukari kwa kuwa sukari ilitolewa kwa kila kichwa. naoana tunaelekea huko sasa
Naona serekali inajijengea chuki na makudni yote ya jamii, sitamani kuona haya yakitokea, mimi ni miongoni wa watu walio tamani raisi wa sasa awe raisi miaka 5 kabla hajawafikiriwa kuwa raisi. ila maumivu ninayoyapata kwa yeye kuwa raisi ni mengi, natumaini siku mmoja ajue watu walimchagua ili...
SIDHANI KAMA SWALI LAKO LINA MASHIKO.
Ili sisi wanaadamu tuwe tofauti na wanyama lazima tuwe na elimu zaidi kuliko wao. na mwanadamu ana elimu kuliko kiumbe chochote kilichoko aridhini. wote tuna elimu mara baada ya kuzaliwa. tunajua huu ni moto, hii ni nyonyo ya mama na mengi mengineyo. Elimu...
Je Katika zama tulizo nazo bado kuna watu wanaamini kuwa binadamu alikuwa nyani? Mbona hakuna nyani anakuwa mwanadamu leo hii. Leo hii wengi wameachana na wazo hilo. Lakini hawajaachana na wazo kuwa binaadamu aliumbwa kwa kuwa wanaamini huu ndio ukweli. Mungu Muumba anasema amemuumba mwanadamu...
Nafikiri ingekuwa vema kusoma hivi vitabu bila kujadili suala bila elimu juu ya swala lenyewe. kwakuwa vitabu husika viko kwenye mtandao inakuwa rahisi. Mleta mada hajawahi kusoma Quran wala hajui chochote kuhusu Quran ataamini vipi. Kuamini ni kuona (japo athari), kusikia, kugusa au kunusa. Pia...
Nadhani muasisi wa mada hii amefika kikomo cha kufikiri, ila nitajaribu kuinua hisia zake ili aweze kusonga mbele katika kufikiri kwake. Kwanza napenda kukujulisha kuwa bila elimu hakuna maarifa.
Nafurahi kusikia unaamini kuwa Mungu yupo kwani huu ndio msingi wa ufahamu wa mambo. Ila kuna...
Madhara na manufaa ya utalii tunayaona sisi wakaazi wa Arusha. sina hakika kama mkaazi wa Tunduma analolote la kuelezea kuhusu utalii. Angalia Taarifa hii kuhusu madhara na manufaa ya VAT ndani ya utalii na hatua za kuchukua. VAT haiwagusi Mapapa bali wazawa walala hoi. Na mfahamu anayesikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.