Recent content by nyumbani kwenu

  1. nyumbani kwenu

    Kwa anayefahamu naomba anifahamishe jinsi e sim inavyowekwa na kutumika kwenye simu

    Esim ni sim inayojengwa au inayowekwa moja kwa moja kwenye simu, tofaut na ile physical sim card tulizozizoea, kupachikwa/ au kuwekwa kwa hii simu inahitaji vitu vikibwa viwili 1) uwe na simu/smartphone ambayo inasupport Esim 2) uwe na QR code ambayo sasa iyo ndio namba yako ya simu, iyo QR...
  2. nyumbani kwenu

    Msaada...i phone 6 yangu imezimwa napataje data zangu zilizomo humo??

    mkuu ulipigwa changa la macho, hakuna iphone iliyozimwa, sema tu iphone za zaman kama iyo 6 haiwez pandisha ios version, imeishia 12, lakin pia kwa ishu ya kupata data zako, ukilog in icloud acount yako kwenye kifaa kingine, iwe simu, au computer, data zako unazipata..otherwise peleka kwa fund...
  3. nyumbani kwenu

    JBL BoomX3

    agiza aliexpress kaka,sidhan kama utaipata kwenye maduka ya dar,mimi niliagiza
  4. nyumbani kwenu

    JBL BoomX3

    xiaomi outdoor sound watts 30 watts ni around laki moja na 30
  5. nyumbani kwenu

    Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

    wanazo pia android tv ila kuipata ni nadra nyingi ni vidaa
  6. nyumbani kwenu

    Changamoto ya malipo aliexpress

    mkuu unapesa ya kutosha kwenye acount yako? maana kuna yale makato ya aliekupa iyo kadi, sijajua huwa ni asilimia ngap inategemea na mtandao au bank gan, hii inaweza ikawa sababu mojawapo pia...
  7. nyumbani kwenu

    Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    mkuu kuna QR code wanazo wenyew tu..inabid uende labda Esim za mitandaon ndio unaweza kiunga mwenyew nyumban
  8. nyumbani kwenu

    Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja

    kuungaanisha simu yako na esim akuna limit, sema kuwepo hewani ni namba moja tu ya esim ndio inayoweza kua hewan, inakua one physical sim na esim moja ndio zinakua hewan
  9. nyumbani kwenu

    Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja

    jaribu hii naona kama ni angalau kodogo..iko kwenye Yesim
  10. nyumbani kwenu

    Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja

    mkuu naona zote ziko juu,,sio chini ya dola 40, moldova ina dola 42 ambayo naona angalau...hizi data zingekua zimeregezwa tungekimbilia eSim
  11. nyumbani kwenu

    JBL BoomX3

    kama kama huwa inatumia aliexpres agiza ali expree
  12. nyumbani kwenu

    JBL BoomX3

    hii mkuu ni laki na 30, ni same na jbl flip 6
  13. nyumbani kwenu

    JBL BoomX3

    mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
Back
Top Bottom