Je, ungependa kufahamu Professional Business Emails ni nini?
Na je, zina faida gani kwako wewe mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni?
Twende na story hii ya Mr.Juma
Mr.Juma ni mfanyabiashara anayetoa huduma ya usajili wa kampuni na majina ya biashara.
Katika kazi yake hiyo,
Huwa...
Je,unamiliki biashara au kampuni na unahitaji website ?
Je,ni standard Company website?
Real estate website??..
Travel & Tour website??
Au Ecommerce ??
Basi Leo Nyumbani Digital tuna OFA MAALUM kwa ajili yako.
Kikawaida, Watu wengi wanaohitaji website,huenda kwa makisio tu na imani...
JIFUNZE HAPA
Kutokana na watu wengi kuhitaji huduma hii ya professional emails.
Tumeamua kuwapatia muongozo kama ifuatavyo.
Muongozo huu unajibu maswali ambayo tumekuwa tukiulizwa sana.
[emoji1485]Unahitaji vitu 3 tu ili kupata professional emails kwa biashara yako
[emoji724]Achana na...
Ukweli ni kwamba...
Linapokuja swala la kufanya biashara kiprofessional na kuiongezea thamani biashara yako kwa wateja
Huna budi,kumiliki website yako.
Lakini kwa wafanyabiashara wengi wanaoanza,bado inakua changamoto kuwekeza ktk website
Unakuta ndo amefungua kampuni yake, bado biashara...
Je,wewe ni mfanyabiashara unayemiliki kampuni tayari? Au umemalizia usajili wa kampuni yako,na sasa unahitaji kujipatia website?
Karibu NYUMBANI DIGITAL tukupatie msaada ktk kile unachohitaji sasa. Baada ya kuongea na wafanyabiashara wengi wanaotutafuta, tukagundua kitu kimoja.
Wafanyabiashara...
Kama unaendesha biashara yako na kutafuta wateja online,basi mada hii inakuhusu.
Utaenda kujifunza vitu 3 muhimu zaidi kuviweka sawa katika tangazo lako lolote lile, kabla hujaposti.
Watu wengi linapokuja swala la matangazo,wanafanya kawaida tu Kama ilivyozoeleka na inavofanywa na watu wengi...
Kuna msemo unasemaga "You'll never get a second chance to make the first impression"
Yaani mtu anavyokuona kwa mara ya kwanza ndivo anavyokuchulia kichwani kwake.
Kuja kubadilisha mtazamo wake,itabidi utumie nguvu nyingi zaidi.
Ndio maana makampuni yanawekeza hela nyingi ktk brand zao, unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.