Mkuu ndio nlionayo nisaidie kama unayo.
Nmejaribu kujieleza hali yangu ili nami niweze kuepukana na adha ya usafir asubuhi ukizingatia huku nlipo ni mbali sana mkuu kuelekea kwenye mihangaiko yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahitaji yangu ni passo..prado sitaweza kumudu ningehitaji ningeweza kuja. Asante.hongera kwa kujinadi kua una prado la kubebea nyasi.hongera tumekufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari za leo..kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye nayo tuwasiliane pm.dar ni rahisi zaidi kufanya biashara,iwe kwa kwenye hali nzuri na vibali vilivyokamilika,nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.