Nahitaji 'passo' offer yangu millions 3

Nahitaji 'passo' offer yangu millions 3

Mkuu ndio nlionayo nisaidie kama unayo.
Nmejaribu kujieleza hali yangu ili nami niweze kuepukana na adha ya usafir asubuhi ukizingatia huku nlipo ni mbali sana mkuu kuelekea kwenye mihangaiko yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mku kwa m3 take it from me utapata gari sawa lakini litakuwa kimeo. Tano kamili njoo nikupe Toyota SIENTA namba T160 CZF, waweza chek kudhibitisha kuwa haina deni lolote na vibali vyote viko valid, waweza toa nne ukamlizia moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom