Nahitaji 'passo' offer yangu millions 3

Nahitaji 'passo' offer yangu millions 3

M3 unatata Paso nzuri tu tena namba D na INA KM si zaidi ya 50k na manufactured year 2016/2017/2018/...
Pambana mkuu.
images
 
Mku kwa m3 take it from me utapata gari sawa lakini litakuwa kimeo. Tano kamili njoo nikupe Toyota SIENTA namba T160 ZCF , waweza chek kudhibitisha kuwa haina deni lolote na vibali vyote viko valid, waweza toa nne ukamlizia moja
zitakazosajiliwa kwa namba hiyo bado ziko kwenye ardhi au makinikia kabisa. zcf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom