Recent content by nyuki2015

  1. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo Maalim Seif kwa sasa?

    Ukimya wake unaweza leta wasiwasi kwa wananchi wake wakahisi ameshapokea mlungula.
  2. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

    Atumbue jipu la toto la mkwereh tuisome namba vizuri,
  3. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania CUF yamtaka Rais Magufuli kuandaa bajeti upya inayotekelezeka

    We ni pumba kabisa. Unashindwa kutofautisha chama cha wananchi cuf na huyu mwanachama wa kawaida. Kwa hiyo kila kauli toka kwa mwanachama unachukulia ni kauli ya chama? Cuf ni taasisi inayojitegemea we mbwiga.
  4. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    R.i.p kamanda mawazo. Inauma saaana aisee
  5. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    ushahidi kama upo watangulie mahakamani
  6. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Myahudi wa kwanza kuswalisha Waislam

    upo dada wa PM7?
  7. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa akishindwa Uchaguzi ataendelea kukipigania CHADEMA, (M4C)?

    Hata mtani wangu wa msoga bado mgonjwa. Ushasahu yale ya tezi medu?
  8. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mshumaa umezimika. Sasa hakuna uhamasishaji
  9. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM aanza ramsi ziara yake kwa usafiri wa basi Maalum

    Kuelekea october tutakukumbuka capt. J. Komba
  10. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Picha: Joseph Haule (Profesa J) katika harakati za mapambano ya kulinyakua jimbo la Mikumi

    Kaza buti Mwana wa Haule ww tofauti sana na yule mwenye rasta rasta hata jinsi ya kujieleza kwa jamii. KARIBU KIDOMA
  11. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Afande toka cuf+cdm+act+..... Tutaona mengi mwaka huu
  12. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Wanaokihujumu chama kipya cha ACT- Tanzania ni hawa hapa

    Acha uzushi Mwl. kaijage
  13. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamuandalia Limbu ziara za Kigoma, Tabora, Rukwa na Katavi

    KAIJAGE ANALALA ACT ILA NDOTO ZAKE ZIPO CHADEMA. mbona hao viongozi wa act hawafungui mdomo kuhusu chadema ila ww tu.
  14. nyuki2015

    JamiiForums Tanzania Asante sana Ngeleja

    Hatupo tayari kuchagua matapeli. Wezi mwisho 2014 #2015 tunataka utawala mpya
Back
Top Bottom