Recent content by nysku

  1. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    bado siamini kwa kozi yetu tulichujwa kabla ya kuingia kwenye usaili baada ya usaili wakatuambia nyie ndo mliopita njooni kwenye vipomo kesho haiwezekani namba ya watu waliopigiwa simu ikawa ndogo kiasi hicho
  2. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    msemaji wa jeshi wewe
  3. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    ok mkuu leo nimepata info kutoka makao makuu niliwapigia cm w mkuu nimepata taarifa kwa mdau mmoja amesema wanaendelea na zoezi la kuwapigia watu simu kwani wanawapigia kwa awamu jamaa aliongea nao
  4. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    ngoja tuone
  5. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    duh! basi kazi kwelikweli ishakula kwetu wengine nilijipa moyo kwa kua kozi yetu tulikuwa kama 200 tukapunguzwa mpaka tukafika 40 ndo tuliruhusiwa kufanya usaili na vipimo kumbe mapanga yalikuwa yanaendelea hatari sana haya mambo
  6. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    chief lini mkuu amepigiwa maana wana kibao nawauliza wanasema bado
  7. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    lini mkuu walimpigia alikuwa kozi gani
  8. N

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    kwa wale waliofanya usaili jwtz kwa kozi za afya kuna ambao wameshapigiwa simu kuitwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi JWTZ zatangazwa

    wameanza leo kuitwa mzee wewe vp ulifanya usaili
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tulio fanya usaili na vipimo JWTZ

    amiin mkuu mungu ni kubwa naamini atatufanyia wepesi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tulio fanya usaili na vipimo JWTZ

    wakuu tuliofanya usaili na vipimo JWTZ kwa kozi ya afya Twalipo karibuni tujuzane habari mbalimbali huku tukisubilia simu kuitwa..Allah atasaidia wote tuliopima afya tutaitwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania vipimo kujiunga na jeshi

    sawa mkuu
  13. N

    JamiiForums Tanzania vipimo kujiunga na jeshi

    ukifaulu vipimo vyote uzito ukawa mdogo hawakuchukui kwani..maana nasikia unatakiwa kuwa na kilo kuanzia 50
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Updates za usalili JWTZ

    Baba vp uliitwa
  15. N

    JamiiForums Tanzania vipimo kujiunga na jeshi

    asante kwa maelezo yako
Back
Top Bottom