Tulio fanya usaili na vipimo JWTZ

Tulio fanya usaili na vipimo JWTZ

nysku

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
37
Reaction score
8
wakuu tuliofanya usaili na vipimo JWTZ kwa kozi ya afya Twalipo karibuni tujuzane habari mbalimbali huku tukisubilia simu kuitwa..Allah atasaidia wote tuliopima afya tutaitwa
 
wakuu tuliofanya usaili na vipimo JWTZ kwa kozi ya afya Twalipo karibuni tujuzane habari mbalimbali huku tukisubilia simu kuitwa..Allah atasaidia wote tuliopima afya tutaitwa

Sasa kama tayari una UKIMWI / Dally Kimoko / Ngwengwe / Waya hiyo Simu unategemea akupigie Shangazi yako / Mjomba aliyeko huko JWTZ au?
 
Jeshi haliendi hivyo? Mkipiga kozi mtajua codes of ethics and conducts za hii kazi ya jeshi.MUNGU AWABARIKI MPATE AJIRA WENGI TUSAIDIANE KULINDA MIPAKA YA NCHI NA RAIA WAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daktari anakwambia mkuu wa majeshi mwenyewe kuna watu walipimpiga tochi,😁😁😁 yani walimchugulia je tigo vipi anatoa au atoi kwaiyo kupigwa tochi, au kuokota shilingi hiyo haiepukiki 😁😁 kila askari jeshi kachunguliwa tigo😁😁
 
Back
Top Bottom