Recent content by nyowe

  1. N

    Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Elimu ya Malezi , makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto / yaani early childhood education ni muhimu sana wa wazazi na dada wa kazi
  2. N

    Ni sahihi baba au mama kuvaa nguo mbele ya mtoto

    75% ya kesho ya mtoto inatengenezwa chini ya miaka 2. Mwaka 1 anakuwa anafyonza kila kitu ila hawezi kuongea na anatambua kila anachokiona ila hawezi kutofautisha kipi kibaya kipi kizuri. Kwahiyo mwisho wa kuvaa nguo mbele ya macho ya mtoto ni miezi 6 .
  3. N

    Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

    Kwenye email hawajatuma kitu , angalia wanasema notion ya kuverfy kama ni mimi imetumwa kwa android yangu naangalia siioni, haka kwa kompyuta nimajaribu imegoma
  4. N

    Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  5. N

    USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Kama uko Dar Msewe college and Msewe Open School wako vizuri wako , wanapatikana ubungo, mtaa wa NHC Karibu na stendi ya mawasiliano. Utanishukuru
  6. N

    Pre-primary education/chekechea imeleta impact yoyote katika elimu ya Tanzania au ni upotevu wa pesa tu?

    Malezi na makuzi ya Mtoto yaani early childhood Education ni elimu mtambuka ..kwa ufupi wafuatao wanapaswa kupa elimu hii 1. Dada wa kazi wa kaka wa kazi anayekaa na watoto wako kwa muda mrefu wakati wazazi wako kazini 2. Mama na Baba wa mtoto 3. Walezi 4. Walimu wa mafundisho ya kidini Nk...
  7. N

    Naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa kozi ya Diploma in Eary Childhood Education

    Msewe college of Early childhood Education wako Dar es salaam Ubungo, Mtaa wa Nationa Housing karibu na stendi ya mawasiliano
Back
Top Bottom