Recent content by Nyonzo bin mvule

  1. Nyonzo bin mvule

    Akaunti za Mange Kimambi zilizokuwa zina rekodi matukio ya MO29 zimerudishwa

    Yani serikali ya kibongo inapambane na mange.. we unamsikia siku hizi huyo mange mwenyewe.. labda arudi kwenye mtikasi wake wa kuuza video za ngono
  2. Nyonzo bin mvule

    Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kwa sie mawinga na madalali wangefungia china ningelia ila huko marekani na wafunge tu hata leo wanachelewa
  3. Nyonzo bin mvule

    Akaunti za Mange Kimambi zilizokuwa zina rekodi matukio ya MO29 zimerudishwa

    Sitaki kuamini kama tegemeo kubwa la chadema limekuwa kwa mange kimambi,, recho dangwa, baba yenu mwandambo japo kwa sasa mlishaanza kumkataa kama mlivyomkataa mbowe..
  4. Nyonzo bin mvule

    Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

    Nyie nyumbu December 9 dada yenu kasema hakuna maandamano na badala yake kasema muandamane Christmas.. dah ila yule demu anajua kuwashikia akili...
  5. Nyonzo bin mvule

    PostGE2025 Ombi kwa Serikali; Baada ya majibu ya Tume ya Uchunguzi hiyo CHADEMA inayoshirikiana na TEC ifutiwe usajili wake

    Hawa jamaa wa kikatoliki wanajikuta watu daraja la kwanza kwenye taifa hili... tangu enzi ya baba nyerere walidekezwa sana hawa.. hii nchi yetu wote hata wasio na dini vile vile.. tangu maslahi yao yaguswe pale bandarini basi wamekuwa na chuki kweli na serikali.
  6. Nyonzo bin mvule

    PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

    Hizi hasira hata sisi wenye biashara zetu tunazo sana sio nyinyi vibaka tu.. na kwa taarifa yako safari mkiiba tena na kuvunja vitu vyetu itakuwa mara mbili ya October 29...
  7. Nyonzo bin mvule

    Museveni atishia vita na Kenya kuhusu bahari ya Hindi

    Wakenya mko wapi?? Acheni shobo na Tanzania,, museven huyo pambaneni nae sasa.. mana kutwa tik tok kuanzisha mijadala inayohusiana na bongo.. sasa museven huyo kakiwasha rukeni nae
  8. Nyonzo bin mvule

    Vyama pinzani vilifelisha watanzania kwa tamaa za muda mfupi na kudhani wanaikomoa CHADEMA

    Hata chagadema ni chama cha wanafiki vile vile ndio maana viongozi wao wale wakubwa wote wamekimbilia ccm.. na wanapofika ccm wanapewa madaraka makubwa tu, kifupi chagadema ni ccm B.. rejea kwa Joshua nasari, lijua likali, dr mashinji, Ester bulaya , dr silaa hawa ni wachache tu ambao baada ya...
  9. Nyonzo bin mvule

    Bila shaka kuna kundi kubwa la wasanii linajutia uamuzi wa wao kuiunga mkono CCM

    Kwani nyie hamjafa wala kutiwa mbaroni.. ina maana nyie kumbe ndo mlikuwa mnawasakizia watoto wa watu wakaibe kwa kivuli cha kukomboa nchi huku nyie mmejifungia ndani.. sasa lengo lenu limefanikiwa kwa sasa mmerudi tena mitandaoni kujifanya nyie mna uchungu sana na waliokufa wanafiki wakubwa nyie..
  10. Nyonzo bin mvule

    Kwa nini Rais Samia hajatoa salamu za pole kwa maelfu ya watanzania waliofariki ikiwemo watoto wadogo kabisa wasioweza hata kuongea?

    Hawezi kutoa pole kwa vibaka.. mwenye kiranga hapewi pole.. yani kifo unakifosi mwenyewe kwa kukata watu vidole kuvunja ATM mchana jua linawaka kwa kisingizio cha kukomboa nchi ukilambwa shaba alafu upewe pole.. hata mie siwezi kufanya ujinga kama huo
  11. Nyonzo bin mvule

    Hivi kuna Mzaramo , Mkwere au Mndengereko ambaye ni Mkristo

    Yani dini yao ndo inawafanya wawe masikini?? Basi kama ndo hivyo Brunei 🇧🇳 wangekuwa masikini mana nchi nzima waiislam.. we itakuwa huipendi tu hiyo dini
  12. Nyonzo bin mvule

    Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Kwa akili zako chaujuaji utailaumu kweli Iran suala la Mahindi kama alivokuwa mwenzio MK254 mana huyu hata akigongewa mkewe na masela kule kibera lawama kwa maustadh
  13. Nyonzo bin mvule

    Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Cha ujuaji nilitaka kushangaa upite hivi hivi kwenye coment kama hizi...
  14. Nyonzo bin mvule

    Mike Huckabee;- Israel inawanyanyasa wakristu,awasihi watalii wasiende Israel hadi ufumbuzi utakapopatakana

    Basi hata hili kuna huyu MK254 lawama atawatupia maustadh.. sasa sijui hawa maustadh walimfi#&#hla.. nyie ngojeni aje muone atakavyopayuka..
  15. Nyonzo bin mvule

    Israel yalipua Kanisa la Katoliki la Gaza linalohifadhi wazee, watoto

    Ongeza na wale waisrael wa homboza, boko mnemela, mbagara, majimatitu, goba mgeni chongo nk.. ndugu zenu wamelipua kanisa huku baada ya kuwashinda kule kwa mfuga ndevu...
Back
Top Bottom