Naamn wapo ambao haawajasoma maneno ya Mh Lissu na pengine hawajaelewwa maana vchwa n vzito...Mh yu sahihi na hana chuki na serikali bali anataka ku shape serkali ukisoma kwenyee vyombo vnavyo control serikali "Politica Part" ni moja wapo so anahaki kisheria kuikosoa . WATANZANIA TUWE WAELEWA
Habar Jf mm naona tusihukum mapemaa kwan ndio kwanza kazi imeanza kwa jpm..chamsing ni ashauriwe aachiee demokrasia na ashirkiane na stakeholdrs wengiine ktk kuleta maendeleo ya taifa...Mungu ibarki Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.